K-lyn angefata ushauri wako... sa hizi angekuwa anaendesha vits badili ya vogue!!! Ila ni ushauri mzuri
NI DHAMBI MWANAUME KUWA NA MWANAMKE MMOJA
HATA Mungu hapendi
nahyo mwanamke anaedondosha chozi hyo mwanaume kamuumba?
siku ya mwisho sijui wanaume walio na mwanamke mmoja watajibu nini kwa Mungu ndo alichowatuma? ndo kazi aliyowapa kumtunza mwanamke mmoja tu?
ole wenu
usiseme kuiba au kuibiwaTuibiane tu hata wa kwetu wanaibiwa na wataendela kuibiwa
mtu mzima anaibiwaje bna?hahahahahahaha
kwani kuna mtu kaibiwa
hiyo dada haipo itakuwa ni u...m..a..l,.a...y..a sasa. Mm nna mke 1 tu na sijawahi kumcheat na wala sitegemei kucheat.NI DHAMBI MWANAUME KUWA NA MWANAMKE MMOJA
HATA Mungu hapendi
nahyo mwanamke anaedondosha chozi hyo mwanaume kamuumba?
siku ya mwisho sijui wanaume walio na mwanamke mmoja watajibu nini kwa Mungu ndo alichowatuma? ndo kazi aliyowapa kumtunza mwanamke mmoja tu?
ole wenu
subiria hukumu yakohiyo dada haipo itakuwa ni u...m..a..l,.a...y..a sasa. Mm nna mke 1 tu na sijawahi kumcheat na wala sitegemei kucheat.
Mm ni mume wa mke 1 tu
Sawa ila wake wawili au kutoka nje ya ndoa kwangu hapana.subiria hukumu yako