GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,902
- 10,503
Marekani sio mwanachama wa ICC.Marekani ilisema hakuna hata mwanajeshi wake mmoja atayeshitakiwa huko ICC regardless amefanya makosa gani ya kivita.
So Icc ni kwa ajili ya nchi zenu Maskini lkn sio kwa ajili ya Super powers.
Ana haki ya kukataa kushtakiwa ICC!