Kwa maandamano haya dikteta Putin anaondoka, Pia huko Hongkong hakukaliki, wanasema ni USA anashnikiza

Pro-russia huona putin ndo yesu wao
Nawaona pro-Putin wanavyomwabudu hapa kama vile mungu vile, wao wanaamini jamaa kashindikana.Lakini yeye ni nani hasa?walikuwepo akina Napoleon, Alexander the Great, na wengineo konki zaidi yake,na wote waliondoshwa.YEYE NI NANI?
 
Putin na Russia yake inakuzwa humu jamii forums jukwaa la kimataifa tu, lakin haina lolote, hata hao wanaoikuza ukiwauliza huyo putin na russia wake wana nini, wataanza kukutajia mabunduki na mabomu tu! Watu wanajua Marekani, Japan, China, Uingereza, ujeruma, Ufaransa hadi huko ikwiriri wanazijua hizo nchi.
Ile TS ni uuaji wa wanadamu na yule aliefanya order ile lipunguani la ajabu sana!

Na ni maajabu upo hapa kushabikia the darkest time in human history ya vifo vya wanadamu wapenda demokrasia!

TS ni tukio baya kabisa kwa serikali ya taifa la China in history na halitakaa lijirudie popote duniani maana worlds powers hazitaweza ruhusu upumbavu huo wa kuua wanadamu kama kumbikumbi!

Tusishabikie mauaji namna hii!

Show some respect to human souls!

Ndio worlds chatter,ukizengua ni The Hague mapema kabisa!
 
Putin na Russia yake inakuzwa humu jamii forums jukwaa la kimataifa tu, lakin haina lolote, hata hao wanaoikuza ukiwauliza huyo putin na russia wake wana nini, wataanza kukutajia mabunduki na mabomu tu! Watu wanajua Marekani, Japan, China, Uingereza, ujeruma, Ufaransa hadi huko ikwiriri wanazijua hizo nchi.

Putin ni overrated kiasi fulani!

Bado hajapata challenge hasa ikamtoa jasho vizuri!

We will see!
 
Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
Hawezi, Putin anawependa sana Waruss(Those Only Russian Race) kutoka Saint Petersburg, Moscow metropolitan, Nizyn, Rostov, Samara na kwingineko ambao ndio wanaoishi Moscow na kuandamana. China haiwapendi watu wake, inachojali ni Maslahi ya Kikundi chao cha kikomunist. Ndio maana waandamanji nchini Urusi wakikamatwa wanawekwa ndani Wiki na kuachiwa na wengine kufungwa kifungo kisichozidi mwezi ili kuwatisha tu.
 
Yeye anaendesha bike huku wananchi wanaandamana kwa shida ya kuzuia wengine wasishiriki uchaguzi
 
Mara nyingi tumekuwa tukibishana humu kuhusu Vladimir Putin na Urusi yake ya sasa na wengi wameonesha kutokuwa wafuatiliaji wa mambo ama kutoyafahamu mambo.

Tutamsifu Putin humu kwa nguvu zote na kumpamba kadri tuwezavyo lakini tukae tukijua kuwa wanaomjua zaidi ni Warusi wenyewe ndani ya Urusi na wanazijua hasara na faida za uwepo wake madarakani.

Tunayoyaona haya yanayotokea hivi sasa nchini Urusi ndiyo picha halisi ya kile tunachokibishania na kukishabikia kila wakati humu.

Leo hii Warusi wanadiriki mpaka kuutamani utawala wa enzi za USSR na kuuona kwamba ulikuwa karibu nao zaidi kuliko huu wa sasa. Upinzani huko kwao ndiyo kama hivyo inavyoonekana.

Dunia imebadilika sana na hayo yote yanatokea hivi sasa huko Urusi, Hong Kong n.k. ni funzo kubwa sana kwa jamii nyinginezo kote Duniani na si jambo la kawaida tu na la kulipuuza.
 
Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
Akijaribu tu! Atamwagiwa mvua ya vikwazo itakayomlowesha na kummaliza kabisa.
 
Unaweza kumuondoa Trump madarakani kwa njia hii ila sio Putin.
Hao wanywa vodka watafute kazi nyingine za kufanya.
Nakumbuka maandishi yako ukiapa kuwa Mugabe hawezi kuondolewa. Where is he now ?!.

Team lumumba mngependa ma communist yadumu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa umepitwa na wakati.
 
Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
Very big mistake,Nyakati za sasa na zile ni tofauti kabisa,mazingira ya kisiasa ya china na Russia ni tofauti.Huwezi tumia mbinu ya mwaka 1980s leo ukategemea ita work properly...
 
It was 1986 when the aftermath happened aisee wale vijana wa chuo waliokuwa wamenunuliwa na kuhamasisha vurugu walipata tabu sana. Lucky to them baadhi walipewa aslyum na nchi zilizokuwa zina sponsor hayo maandamano mpaka leo wanajuta. For russian matter aisee wasahau japo siku hazigandi in record mtawala aliyetoka madarakani kwa vurugu za wanainchi ni Mfalme Tsar pekee yake 1917 chini ya ufuasi wa wafanyakazi waliogoma wakiongozwa na Comrade Lenin, that's the only bizarre encounter of mass strikes in their nation. Hao walioanza wajiandae kutafuta aslyum huko wanakofadhiliwa mapema kabla maji hayajawa moto maana wata KWIVA kweli kweli..!!
Akili nyingine hizi,Yaani kila maandamano yanayotokea communist countries yanafadhiliwa na nchi maadui?..Unafikiri ni rahisi hivyo CIA kupenyeza mamluki Russia na kuwalipa waandamane?.Case ya Russia it's pure inside politics.Hivi ile corruption cycle ya Putin na wenzake wa Former KGB unafikiri hakuna warusi wanaoumia?.
 
Mara nyingi tumekuwa tukibishana humu kuhusu Vladimir Putin na Urusi yake ya sasa na wengi wameonesha kutokuwa wafuatiliaji wa mambo ama kutoyafahamu mambo.

Tutamsifu Putin humu kwa nguvu zote na kumpamba kadri tuwezavyo lakini tukae tukijua kuwa wanaomjua zaidi ni Warusi wenyewe ndani ya Urusi na wanazijua hasara na faida za uwepo wake madarakani.

Tunayoyaona haya yanayotokea hivi sasa nchini Urusi ndiyo picha halisi ya kile tunachokibishania na kukishabikia kila wakati humu.

Leo hii Warusi wanadiriki mpaka kuutamani utawala wa enzi za USSR na kuuona kwamba ulikuwa karibu nao zaidi kuliko huu wa sasa. Upinzani huko kwao ndiyo kama hivyo inavyoonekana.

Dunia imebadilika sana na hayo yote yanatokea hivi sasa huko Urusi, Hong Kong n.k. ni funzo kubwa sana kwa jamii nyinginezo kote Duniani na si jambo la kawaida tu na la kulipuuza.
Umesema vizuri serikali za kiimla zina takiwa kuacha mawazo yao ya ukandamizaji. Ni aibu kubwa kwa wenye kiamini unyanyasaji kuwa ndiyo uongozi wenye maana.
 
Back
Top Bottom