Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Ilikuwaje ndugu
Tuelezee kidogo
1989 Tiananmen Square protests and massacre - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Ilikuwaje ndugu
Tuelezee kidogo
Hapo atawapoza kwa kurudi kwenye uwaziri mkuu. Ila nguvu ya umma haijawahi kushindwa.
I would wish for such bravery to be infected in East Africans cowardice minds!
Wewe kama siyo myanga wa kienyeji basi Mchawi. Naamini kwamba mchawi na manga huwa awanaangalia manufaa ya upande tuu tena ya upande mmoja tuukampala
It was 1986 when the aftermath happened aisee wale vijana wa chuo waliokuwa wamenunuliwa na kuhamasisha vurugu walipata tabu sana. Lucky to them baadhi walipewa aslyum na nchi zilizokuwa zina sponsor hayo maandamano mpaka leo wanajuta. For russian matter aisee wasahau japo siku hazigandi in record mtawala aliyetoka madarakani kwa vurugu za wanainchi ni Mfalme Tsar pekee yake 1917 chini ya ufuasi wa wafanyakazi waliogoma wakiongozwa na Comrade Lenin, that's the only bizarre encounter of mass strikes in their nation. Hao walioanza wajiandae kutafuta aslyum huko wanakofadhiliwa mapema kabla maji hayajawa moto maana wata KWIVA kweli kweli..!!Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
Naikumbuka ,vifaru vilifyeka ,na dunia ikinywea,walipiga kelele.kwa muda tuMlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
Hakunaga cha nguvu ya umma kwenye power,ukiona nguvu ya umma imefanikiwa jua kuna kikundi cha watu ndani ya huo utawala hakimtaki huyo mtawalaHapo atawapoza kwa kurudi kwenye uwaziri mkuu. Ila nguvu ya umma haijawahi kushindwa.
Kinacho tokea sasa hivi Hongkong ni nini ? Mbona hao Wachina hawatumii hiyo technique ya Tiananmen Square ?Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
Juzi!sijui lini watanzania watakuwa na uthubutu wa namna hiyo...
hii ndio shida ya wazee, bado mna mentality za kijinga sana za 70s and 80s.Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
myanga... manga ndio kifaa gani?Wewe kama siyo myanga wa kienyeji basi Mchawi. Naamini kwamba mchawi na manga huwa awanaangalia manufaa ya upande tuu tena ya upande mmoja tuu
Kiliwapata nini hao waandamanaji wa China Mzee Baba?Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina