Kwa maandamano haya dikteta Putin anaondoka, Pia huko Hongkong hakukaliki, wanasema ni USA anashnikiza

mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,990
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,990 2,000
Ile TS ni uuaji wa wanadamu na yule aliefanya order ile lipunguani la ajabu sana!

Na ni maajabu upo hapa kushabikia the darkest time in human history ya vifo vya wanadamu wapenda demokrasia!

TS ni tukio baya kabisa kwa serikali ya taifa la China in history na halitakaa lijirudie popote duniani maana worlds powers hazitaweza ruhusu upumbavu huo wa kuua wanadamu kama kumbikumbi!

Tusishabikie mauaji namna hii!

Show some respect to human souls!

Ndio worlds chatter,ukizengua ni The Hague mapema kabisa!
The Hague wanapelekwa watu wa from shithole countries tu,Jamaa from Super Power Countries hawatapelekwa hata mmoja.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,990
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,990 2,000
Nakuunga mkono boss, na the only reason why Putin ameonekana kijeba ni kwa sababu USA inaongozwa na taahira.
Na tangu mwaka 2000 Putin anakamata nchi inaonekana US imepataga marais mataahira till now hahah.
 
prince mrisho com

prince mrisho com

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Messages
2,204
Points
2,000
prince mrisho com

prince mrisho com

JF-Expert Member
Joined May 2, 2015
2,204 2,000
Walifanywaje mkuu
Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
 
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
2,456
Points
2,000
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
2,456 2,000
hii ndio shida ya wazee, bado mna mentality za kijinga sana za 70s and 80s.
Mentality za akina Kabudi na Pasco Mayala hizo! Hadithi za TANU, azimio la Arusha, sijui na matakataka gani!

Hawajui kuwa dunia inaongozwa kwa kanuni mpya kulingana na nyakati na kila zama zina kitabu chake!
 
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
991
Points
1,000
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
991 1,000
Elezea kidogo
Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
 
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
2,456
Points
2,000
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
2,456 2,000
Ile TS ni uuaji wa wanadamu na yule aliefanya order ile lipunguani la ajabu sana!

Na ni maajabu upo hapa kushabikia the darkest time in human history ya vifo vya wanadamu wapenda demokrasia!

TS ni tukio baya kabisa kwa serikali ya taifa la China in history na halitakaa lijirudie popote duniani maana worlds powers hazitaweza ruhusu upumbavu huo wa kuua wanadamu kama kumbikumbi!

Tusishabikie mauaji namna hii!

Show some respect to human souls!

Ndio worlds chatter,ukizengua ni The Hague mapema kabisa!
Zile zilikuwa ni nyakati za giza sana! Hata vyombo vya kimataifa kama ICC havikuwepo!

Nchi zilizoongozwa kidikteta zilizidi kuimarisha udikteta bila kuulizwa chochote!

Wakati huo si wakati huu! Hakuna mtawala wa sasa mwenye akili timamu ambaye ana uthubutu wa kufanya huo upuuzi!

Hata hawa wajinga wajinga kutoka Afrika kama akina museven wanalijua hilo ndio maana wamejikita kwenye udikteta uchwara wa kukimbizana na vijitu vidogo dogo kama bobi na wengineo!
 
T

TruthLover

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2019
Messages
480
Points
500
T

TruthLover

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2019
480 500
Nawaona pro-Putin wanavyomwabudu hapa kama vile mungu vile, wao wanaamini jamaa kashindikana.Lakini yeye ni nani hasa?walikuwepo akina Napoleon, Alexander the Great, na wengineo konki zaidi yake,na wote waliondoshwa.YEYE NI NANI?
Mkuu hivi udikteta wa putin una ahari kwa Russia?
 
T

TruthLover

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2019
Messages
480
Points
500
T

TruthLover

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2019
480 500
Hakunaga cha nguvu ya umma kwenye power,ukiona nguvu ya umma imefanikiwa jua kuna kikundi cha watu ndani ya huo utawala hakimtaki huyo mtawala
Sijakuelewa mkuu hicho kikundi kina nguvu kuliko mtawala?
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,990
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,990 2,000
Marekani ilisema hakuna hata mwanajeshi wake mmoja atayeshitakiwa huko ICC regardless amefanya makosa gani ya kivita.

So Icc ni kwa ajili ya nchi zenu Maskini lkn sio kwa ajili ya Super powers.

Zile zilikuwa ni nyakati za giza sana! Hata vyombo vya kimataifa kama ICC havikuwepo!

Nchi zilizoongozwa kidikteta zilizidi kuimarisha udikteta bila kuulizwa chochote!

Wakati huo si wakati huu! Hakuna mtawala wa sasa mwenye akili timamu ambaye ana uthubutu wa kufanya huo upuuzi!

Hata hawa wajinga wajinga kutoka Afrika kama akina museven wanalijua hilo ndio maana wamejikita kwenye udikteta uchwara wa kukimbizana na vijitu vidogo dogo kama bobi na wengineo!
 
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Messages
2,537
Points
2,000
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2014
2,537 2,000
Kinacho tokea sasa hivi Hongkong ni nini ? Mbona hao Wachina hawatumii hiyo technique ya Tiananmen Square ?

Dunia ya leo sio ya jana mjomba acha kuishi kwa mazoea .
Wanachofanya kwa sasa ni kukamata masterminds tu,na kuwafungulia kesi kama Russia.Ila kukanyaga watu na vifaru kama 1989,itakuwa disaster..
 
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Messages
2,537
Points
2,000
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2014
2,537 2,000
Putin ni overrated kiasi fulani!

Bado hajapata challenge hasa ikamtoa jasho vizuri!

We will see!
True,na pia ukiangalia alikuzwa na media kipindi cha Obama,issue za Ukraine na Syria.Ila Obama angekuwa kichwa ngumu kidogo,Putin angeonekana wa kawaida sana...
 
Forum statistics

Threads 1,326,680
Members 509,566
Posts 32,230,803
Top