Kwa ma programmers

Kwa ma programmers

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
Hivi nani anaweza elezea jinsi gani app ya shazam inavyofanya kazi.
Inawezeje sikiliza mziki na kutambua ni mziki gani maana imenistaajabisha sana
 
Hai hitaji Programmers btw !

Shazam ni search engine !
Lakini for audio samples !

Kiufupi ! Tu unapoisikilizisha nyimbo flani hiyo app (shazzam) yenyewe inapeleka kwenye server zao na ina compare ! Zitakapofanana na nyimbo flani basi yenyewe lazima ikupe majibu ! Kulingana na hiyo nyimbo ilivyo seviwa kule kwenye server zao ! I mean details za nyimbo husika !

Mfano ! Kwenye server wame save hivi

Nash MC - Mitihani

genre - hip hop
Nakuendelea !

Basi yenyewe itakupa details hizo

Ila haipeleki kule hiyo audio moja kwamoja lakini inapeleka acoustic fingerprint ! Thats why kukosea ni ngumu !
 
Hapo nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom