Tesla Senior,Siku zote Experimental physicist yupo juu zaidi.Kwasababu theory inaweza kukosolewa lakini huwezi kukosoa Devices kama Electric Motor au A.C
Sayansi ni elimu ya kutambua asili yetu na uhalisia.Sijakataa.Asili ya sayansi ni nini au nani au wapi kwa sababu hao wanasayansi hiyo sayansi wameikuta;yaani ni kwamba wanafanyia tafiti kitu ambacho kipo.
Basi wakishaona hawajui mwanzo kitu kilipoanzia ndo wanaanza singizia uwepo wake... Science hatujigambi tuna majibu yote ni vitu vingi tu bado hatujavijua ila siku adi siku tko tayari kujifunza mapya ila wenzetu mawazo yenu yatakapogomea ndo mnaanza kutoa sifa zisizokuepo unakufuru,kuna moto, ni dhambi aaah hapana sio kweli
Wewe huamini uwepo wa Mungu ila unaamini sana sayansi.Hebu naomba utujuze ASILI/CHANZO ya sayansi,maana hata hao wanasayansi nguli hiyo sayansi wameikuta.
Mkuu nimesema hivyo kwasababu.
Aristotle alikuwa tofauti ya wanafalsafa wengine.
Yeye ndiye aliyesema kuwa ili Nadharia ikubaliwe lazima iwe verified na Experiment
Na Experiment ndiyo Msingi mkubwa wa science.
scientific society inamtambua yeye kama Mwanasayansi wa kwanza.
Nilikuwa sijawahi kukutana na atheists wakitanzania wazuri katika mada kiasi nilichokiona humu, mimi siamini katika uwepo wa mungu naaiamini saaana sayansi kwani imenifungua akili kuujua ulimwengu.Big up sana fellow atheists of Tanzania.
Mkuu nimesema hivyo kwasababu.
Aristotle alikuwa tofauti ya wanafalsafa wengine.
Yeye ndiye aliyesema kuwa ili Nadharia ikubaliwe lazima iwe verified na Experiment
Na Experiment ndiyo Msingi mkubwa wa science.
scientific society inamtambua yeye kama Mwanasayansi wa kwanza.
Hakuna uthibitisho wa kutosha kuwa Mungu hayupo ila pia hakuna uthibitisho clearly kuwa Yupo. Assumption ni nyingi kuanzia mwanzo wa dunia mpaka uwepo wa viumbe kote hakujawa stable kueleza history hizo.God anatokea baada ya majibu kutopatikana haswa majibu clearly
..Science ina jitahdi kueleza asili ya binadamu na kiukweli ina mantiki Dini nazo zinafafanua kadri ziwezavyo kitu ambacho naona dini itashindwa ni kuweka kwao limits za ku update maandiko yao, huwezi note jambo leo useme hata miaka mia mbele halitabadilika huku ni kuweka ukomo wa akili ambayo ni infinity