Mmeharibu sana kumruhusu mtu aliyedharauliwa nchi nzima dr bana kukaa meza kuu , mmefanya utafiti wenu udharauliwe vibaya sana !
Samahani, nikumbushe ndugu: hivi ni kwa lipi hasa Mh. Jakaya Mrisho Kikwete alipewa nchi mwaka 2005???!!!! Kwangu mimi, yeyote anayejidai eti haoni utendaji wa Mh. Lowassa huyo ni mnafiki tu. Hivi, ni lini paliwahi kuthibitishwa ufisadi wa Mh. Lowassa???!!! Baadhi yetu tusioendeshwa na tabia za wanasiasa kuchafuana, na tunaotafakari kwa kina juu ya matukio ya kisiasa, tulitambua toka siku nyingi sana kuwa zigo la RICHMOND siyo la Mh. Lowassa; Mh. Lowassa alionewa tu, na yupo hasa mkubwa mwingine aliyenufaika na suala zima la RICHMOND lakini siyo Mh. Lowassa hata kidogo: yeyote anayetafakari kwa kina, atakubaliana nami. NACHUKIA UFISADI- SANA TU, LAKINI RICHMOND SIYO ZIGO LA MH. LOWASSA, ASICHAFULIWE KWALO. NA, MUNGU ATAENDELEWA KUMWINUA JUU SANA MH. LOWASSA DHIDI YA MAADUI WAKE.
lowasa ni fisadi aliyethibitishwa na bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania (hansard) , na kama yeye hakuhusika na richmond kwanini aling'oka kwa aibu ? Unajua ni lowasa aliyeuza jengo la umma ( wezi wanaita la uvccm) kwa miaka 99 ? Alipangisha kama nani ? Hebu thibitisha hapa kwamba lowasa hahusiki na uchafu huu , Mungu hainui wezi hata siku moja , acheni kumshirikisha mungu na mafisadi wa kisiasa bali mafisadi hujiinua wenyewe kwa kuhonga kila mtu mwenye njaa , UKAWA TUNAMSUBIRI JUKWAANI FISADI YEYOTE YULE , TUTAPAMBANASamahani, nikumbushe ndugu: hivi ni kwa lipi hasa Mh. Jakaya Mrisho Kikwete alipewa nchi mwaka 2005???!!!! Kwangu mimi, yeyote anayejidai eti haoni utendaji wa Mh. Lowassa huyo ni mnafiki tu. Hivi, ni lini paliwahi kuthibitishwa ufisadi wa Mh. Lowassa???!!! Baadhi yetu tusioendeshwa na tabia za wanasiasa kuchafuana, na tunaotafakari kwa kina juu ya matukio ya kisiasa, tulitambua toka siku nyingi sana kuwa zigo la RICHMOND siyo la Mh. Lowassa; Mh. Lowassa alionewa tu, na yupo hasa mkubwa mwingine aliyenufaika na suala zima la RICHMOND lakini siyo Mh. Lowassa hata kidogo: yeyote anayetafakari kwa kina, atakubaliana nami. NACHUKIA UFISADI- SANA TU, LAKINI RICHMOND SIYO ZIGO LA MH. LOWASSA, ASICHAFULIWE KWALO. NA, MUNGU ATAENDELEWA KUMWINUA JUU SANA MH. LOWASSA DHIDI YA MAADUI WAKE.
Lowassa ni mwizi tu na fisadi mkubwa, wiki chache zilizopita aliweka hadharani utajiri wake eti ni wa ng'ombe tu lakini akasahau kujihusisha na wasomali waliotaka kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba. tumechoshwa na wababaishaji na wazembe Lowassa umefikia wakati wa yeye kustaafu badala ya kuendelea kung'ang'ania kutaka kuingia Ikulu.
Kwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?
Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.
Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?
Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.
Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe rais wa awamu ya tano?
Sioni cha maana kilichokufanya uandike BRAVO
Kuhusu Mnaouita Ufisadi wa Mh. Lowassa
Fikiri pamoja nami juu ya tukio lifuatalo baada ya usomwaji bungeni wa taarifa ya iliyokuwa tume ya Mh. Mwakyembe: Mh. Mwakyembe, kufuatia baadhi ya wabunge kuendelea kulijadiri suala la RICHMOND hata baada ya wiki kadha toka bunge lilipolifunga suala hilo, alipata kutamka hivi, "....Mh. Spika, bunge lako likubali kuvunja kanuni zake ili suala la RICHMOMD lijadiriwe upya na sisi tuyaseme hata mengine tuliyoyaficha ili kulinda hadhi ya serikali...." Sasa ndugu yangu, nachopenda ujiulize hapo ni kuwa ni serikali ipi iliyotunziwa hadhi yake wakati Baraza la Mawaziri lilikuwa limevunjika na Waziri Mkuu wake kuaibishwa kiasi kile mbele ya jamii iliyokuwa ikimuheshimu sana?????!!!!!! Matukio ni mengi sana ambayo ukiyatafakari, na kuweka kapuni ushabiki wa kipuuzi wa vyama, basi utajua tu kuwa Mh. Lowassa alionewa tu. Na, kwa kweli walidhamiria kumnyang'anya nafasi yake. Kwa sababu ya muda na majukumu mengine ya kikazi, naomba tukio hilo moja liwe chachu ya wewe kutafakari matukio mengine kuhusu suala la RICHMOND- hakika utaujua ukweli. Mungu Yupo na Mh. Lowassa, na huyu ndiye Rais ajaye: na, kwa kweli kwa namna nchi ilivyo sasa, huyu ndiye afaaye kuwa Rais wetu.
mimi sidhani kama unayoyasema yana ukweli hata kama ingekuwa wewe,huwezi kukubali adhabu ya kunyongwa kwa kosa lisilo lako,never! Kama EL alionewa,aseme sasa kuwa fulani ndio fisadi au anahusika na Richmond,asisubiri muda wa uchaguzi. Na kama atataja kuwa fulani alikuwa au ni fisadi atuambie atachukua hatua gani za kisheria.
Kwann LOWASSA ASIPIWE NCHI...!!? Babu Slaa hamna kitu tena...!!!
Lowassa atawamaliza mwaka huu....!!!
Mmeharibu sana kumruhusu mtu aliyedharauliwa nchi nzima dr bana kukaa meza kuu , mmefanya utafiti wenu udharauliwe vibaya sana !
Kuhusu Mnaouita Ufisadi wa Mh. Lowassa
Fikiri pamoja nami juu ya tukio lifuatalo baada ya usomwaji bungeni wa taarifa ya iliyokuwa tume ya Mh. Mwakyembe: Mh. Mwakyembe, kufuatia baadhi ya wabunge kuendelea kulijadiri suala la RICHMOND hata baada ya wiki kadha toka bunge lilipolifunga suala hilo, alipata kutamka hivi, "....Mh. Spika, bunge lako likubali kuvunja kanuni zake ili suala la RICHMOMD lijadiriwe upya na sisi tuyaseme hata mengine tuliyoyaficha ili kulinda hadhi ya serikali...." Sasa ndugu yangu, nachopenda ujiulize hapo ni kuwa ni serikali ipi iliyotunziwa hadhi yake wakati Baraza la Mawaziri lilikuwa limevunjika na Waziri Mkuu wake kuaibishwa kiasi kile mbele ya jamii iliyokuwa ikimuheshimu sana?????!!!!!! Matukio ni mengi sana ambayo ukiyatafakari, na kuweka kapuni ushabiki wa kipuuzi wa vyama, basi utajua tu kuwa Mh. Lowassa alionewa tu. Na, kwa kweli walidhamiria kumnyang'anya nafasi yake. Kwa sababu ya muda na majukumu mengine ya kikazi, naomba tukio hilo moja liwe chachu ya wewe kutafakari matukio mengine kuhusu suala la RICHMOND- hakika utaujua ukweli. Mungu Yupo na Mh. Lowassa, na huyu ndiye Rais ajaye: na, kwa kweli kwa namna nchi ilivyo sasa, huyu ndiye afaaye kuwa Rais wetu.
Alishajibu muda sana...!!! Kupitia NEC YA CCM...kila mtu anajua RICHMOND ni ya nani....!!!
Kama hujui waulize wenzako au muulize Riz1 akupe jibu...!!
Alishajibu muda sana...!!! Kupitia NEC YA CCM...kila mtu anajua RICHMOND ni ya nani....!!!
Kama hujui waulize wenzako au muulize Riz1 akupe jibu...!!