Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Tunakumbushana tu!
 
Yani hata mfanyeje mi napenda kuwaambia kuwa bila sisi kuomba sana kwa mwenyezi Mungu basi Tanzania itakuwa chini ya freemason na hii ni kweli we ona watu wanavyomkubali lowassa yani tumeshaingiwa na pepo mbaya sasa

Ni kwamba hawaruhusiwi kutajana hawa Freemasons lakini soma hapa utaelewa kwa nini Lowassa anapewa sapoti kubwa na wafanyabiashara wakubwa na watu ktk nafasi nyeti

http://freemasonstanzania.blogspot.com/2014/12/members-of-freemason-in-tanzania.html?m=1

Hii ni blogspot yao halali.
 
Tunakumbushana tu!


Umekumbusha jambo jema. Na ndiyo maana tunasema, hatumchagui kwa sababu ni kiongozi bora. Bali yeye ni mmoja wa walioua taifa pamoja na ccm yenu kutengeneza taifa la majuha mengi yasiyojitambua. Hao majuha ambao ni wafuasi wa ccm wakiwemo na wa lowasa, ni Watanzania wanahitaji kubadilishwa ili wafae kwa maendeleo ya taifa na waishi kama watu na si kama ilivyosasakwamba ni ndondocha wa ccm.

Kwa mantiki hiyo, Lowasa na kundi lake, wanaumuhimu mkubwa kwenyekuliua ccm lililofanya nchi namna hii. KIsha chini ya UKaWA, mifumo yenye akili, nia bora na utendaji makini, tunakwenda kujenga nchi mpya kwa pamoja. UKAWA si ccm ambapo raisi anaamka tu analeta masuala ya faimlia yake na maswahiba, na kuyaingiza serikalini na mafuasi yake yaliyofanywa misukule, hayana hata sababu yakuhoji. Yanauawa huku yakipiga makofi.

Sasa Lowasa anakwenda kuwa chini ya UKAWA ili kwa mfumo sahihi alibomoe zimwi na kwa pamoja tuwakomboe misukule wa ccm ili tujenge nchi.

Hope umeelewa.
 
Sababu zinazokufanya umnyime kura makufuli ndio sababu zinazokufanya uumpe kura Lowassa.
 
Kwan magufuri hizo barabara anajenga kwa pesa zake, mbona watu mnakomaa na CCM wamewapa nn 50 yrs bado nchi inatatizo la Hospital,maji,umeme,elimu na wakati raslimal zipo nyingi tu, Bora huyo huyo Lowasa aingie chin ya UKAWA lengo letu ni kuing'oa CCM that's only
 

aksante sanaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…