king Chuga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 510
- 52
Blackberry bold 9780 nzima kabisa ntapata kwa bei hiyo ??
Blackberry bold 9780 nzima kabisa ntapata kwa bei hiyo ??
Blackberry bold 9780 nzima kabisa ntapata kwa bei hiyo ??
mimi nitakupatia blackberry torch 9800 nicheki 0717 022737
Laki 200,000 ndo shillingi ngapi hiyo? 200,000k?
chukua bold 9700 kwa hyo bei ninayo iko poa
180 nakuachia
Ni PM mkuu....ninayo Bold 9780 (black in colour) nakupa na its pocket casE
Blackberry bold 9780 nzima kabisa ntapata kwa bei hiyo ??
laki 200,000/= (100,000 x 200,000/=) ni 20 Billion kwa ajili ya simu? au ulimaanisha sh. laki mbili? well kama ni laki mbili nenda pale Break Point kuna wale ma chalii watakusaidia! siku njema!
Nakupa 9800 kama unataka kwa bei hiyo
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums