Serikali imesema muda wowote inaweza kupokea pesa zake ambazo maarufu chenji ya rada,,,,,,membe amesema wanataraj kuzipokea wakat wowote,,,,,,jumla ya hizo pesa nadhan ni zaid ya shiling bilion 70,,,,,sasa kwakuwa hizo pesa tulikua tunadai na tumepewa kibahati basi tuwalipe dowans,,,,,,,,,maana kwa mtazamo wangu ni kwamba hizo pesa (za rada na dowans zote zimetawaliwa na mizengwe na bora zikalipwa kimizengwe,,,,,baada ya hizo nil 70 kulipwa kwa dowans,nashauri mishahara ya rais,makamo wa rais,wazirimkuu na baraza la mawaziri ikatwe ili walipwe dowans,pia nusu ya mshahara wa Jaji Werema nao ukatwe kwa kujazia hilo gap