Kwa kuwa CHENJI ya rada inarudi basi ipelekwe huku..........

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Serikali imesema muda wowote inaweza kupokea pesa zake ambazo maarufu chenji ya rada,,,,,,membe amesema wanataraj kuzipokea wakat wowote,,,,,,jumla ya hizo pesa nadhan ni zaid ya shiling bilion 70,,,,,sasa kwakuwa hizo pesa tulikua tunadai na tumepewa kibahati basi tuwalipe dowans,,,,,,,,,maana kwa mtazamo wangu ni kwamba hizo pesa (za rada na dowans zote zimetawaliwa na mizengwe na bora zikalipwa kimizengwe,,,,,baada ya hizo nil 70 kulipwa kwa dowans,nashauri mishahara ya rais,makamo wa rais,wazirimkuu na baraza la mawaziri ikatwe ili walipwe dowans,pia nusu ya mshahara wa Jaji Werema nao ukatwe kwa kujazia hilo gap
 
Kama una wazo lolote mbadala naomba ulitoe,,,,,ni kwa jinsi gani walipa kodi tutaweza kuepuka zigo la dowans,,,,,,mim mawazo yangu ndio hayo hapo juu
 
kuepuka zigo la dowans ni kuiondoa ccm madarakani
 
Serikali imesema muda wowote inaweza kupokea pesa zake ambazo maarufu chenji ya rada,,,,,,membe amesema wanataraj kuzipokea wakat wowote,,,,,,jumla ya hizo pesa nadhan ni zaid ya shiling bilion 70,,,,,sasa kwakuwa hizo pesa tulikua tunadai na tumepewa kibahati basi tuwalipe dowans,,,,,,,,,maana kwa mtazamo wangu ni kwamba hizo pesa (za rada na dowans zote zimetawaliwa na mizengwe na bora zikalipwa kimizengwe,,,,,baada ya hizo nil 70 kulipwa kwa dowans,nashauri mishahara ya rais,makamo wa rais,wazirimkuu na baraza la mawaziri ikatwe ili walipwe dowans,pia nusu ya mshahara wa Jaji Werema nao ukatwe kwa kujazia hilo gap

i second your suggestion plus that offered through post # 3 above.
 
Back
Top Bottom