Kwa kumpuuza Shibuda kweli Chadema ni chama makini

Kwa kumpuuza Shibuda kweli Chadema ni chama makini

KALEM B

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
51
Reaction score
25
Nilazima tukili kua msaliti ni mtu mbaya sana katika jamii,msaliti ni muaji,sipati dhambi ata nikisema ni shetani maana shetani ndio jina pekee la mwisho la mtu mwenye mzigo wa dhambi kama ya usaliti,kwetu singida tunaona nibora ya mchawi kuliko msaliti,ni ukweli usiofichika bwana shibuda ni miongoni mwa watu wanaokasirisha sana watu na sijui uaga anadhani sifa,shibuda ni miongoni mwa watu wanaosubilia moto wa milele,ukimya wa chadema kwa shibuda ni wito wa kimungu,hongereni makamanda kwa kumpuuza gamba huyu,na uvumilivu huu ndio ukombozi wa kweli
 
Shibuda wala kumfikiria sana, ukishamfahamu mtu mbona hakupi tatizo huyo ni wakumpuuza tu atajiondoa mwenyewe pole pole bila hata kusukumwa na mtu.
 
IMG-20130710-WA0003.jpg
 
Ya nini kujibizana na debe tupu bwana!!! taratibu atarejea alikutoka... long live CHADEMA!!!
 
Hivi tangu Shibuda aingie CHADEMA kuna faida yoyote ameileta kwa chama ukilinganisha na faida alizozipata kwa kuja CHADEMA. Au ni loose situation kwa CHADEMA na Win Situation kwa Shibuda. Mda mwingine tuwe tunaangalia Win Win stuation kabla ya kuwa kubali makada toka CCM.
 
Kimya pia ni jibu. Chadema wangethubutu kumwadhibisha shibuda basi lengo la CCM la kumtumia yeye kuwarudisha wasukuma CCM ili 2015 wamlipie tena fomu ya uteuzi mgombea wa CCM ambaye angeteuliwa lingetimia kwani angezunguka mwanza, shinyanga, kahama na bariadi huku akiwadanganya wasukuma na akiongea kwa kisukuma kuwa 'mnaona wamenitimua kwa vile mimi ni msukuma, achaneni na hicho chama cha wachaga.....' Bahati mbaya hiyo ikawa ni akili ndogo inachuana na akili kubwa na jibu likawa ni kuwa kimya akaishiya kujimaliza mwenyewe. Na amekwishaaaaaaaa
 
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]shibuda shibuda nomaaaaaaaaaaa???
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mboye angezubutu aone moto, Shibuda si sawa na madiwani wanopelekwapekwa hovyo, akiambiwa jikunje hivi anajikunja hata km awezi, akiambiwa inama hivi anainama, akiambiawa kimbia miter mia urudi kwa sec. tatu nafanya hivyo coz anajua akikataa ugali unamwagwa, shibuda angemwaga ubwbwa woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chiniiiiiiiiiiii????????
 
Waswahili wanasema MBWA UKIMJUA JINA HAKUSUMBUI hii ni sawa na CHADEMA wanavyomtendea Shibuda kwani yupo CDM lakini hakuna MwanaCDM yeyote mwenye habari na yeye iwe kwenye Mikutano Muhimu ya Kichama wala kwenye zoezi la kuijenga CDM (M4C).
 
kweli,kumpuuza mbabaishaji ni adhabu tosha ili kupisha ujenzi wa ukombozi wa awamu ya pili
 
Yesu alimjua msaliti wake lakini alimuacha, lakini kila mtu anajua mwisho wake ulikuwaje!
 
Shibuda anataka afukuzwe, lakini hafukuzwi hiyo inampa tabu si kidogo...
 
kwa mambo ambayo Shibuda alifanyiwa na yule fisadi wa uda , na jinsi cdm ilivyohangaika naye na kumwokoa , na kwa namna shibuda anavyoifanyia cdm hivi sasa , kama kweli Mungu anahukumu basi bila shaka shibuda ni wa motoni .
 
Nilazima tukili kua msaliti
ni mtu mbaya sana katika jamii,msaliti ni muaji,sipati dhambi ata
nikisema ni shetani maana shetani ndio jina pekee la mwisho la mtu
mwenye mzigo wa dhambi kama ya usaliti,kwetu singida tunaona nibora ya
mchawi kuliko msaliti,ni ukweli usiofichika bwana shibuda ni miongoni
mwa watu wanaokasirisha sana watu na sijui uaga anadhani sifa,shibuda ni
miongoni mwa watu wanaosubilia moto wa milele,ukimya wa chadema kwa
shibuda ni wito wa kimungu,hongereni makamanda kwa kumpuuza gamba
huyu,na uvumilivu huu ndio ukombozi wa kweli

Ahsante sana mkuu!
 
Back
Top Bottom