Kwa Kukengeuka na Kutukana simuungi mkono Nahodha wa Prisons, ila kwa tuhuma aliyoitoa dhidi ya Yanga namkubalia na Simba tumo pia

Humu JF watu wa aina yako hatufiki 5. Nafikiless people. Big up.
 
Nimekuelewa Mkuu na tupo pamoja.
 
Humu JF watu wa aina yako hatufiki 5. Nafikiless people. Big up.
Ahsante Mkuu. Katika Maisha yangu hakuna Mambo ambayo nayachukia kama Unafiki, Uonevu, Uwongo na Kujipendekeza kwa Mtu.

Na ni tabia zangu hizi Nne za Asili zimenifanya nichukiwe na Wapumbavu wengi katika Jamii ( hata Familia na Koo zangu ) huku nikipendwa na Watu Werevu ( Intelligent ) wachache mno ( katika Ndugu, Jamaa na Marafiki ) na ninamshukuru zaidi Mwenyezi Mungu kwa kunipa 'Ujasiri' wa kuwa hivi ( hivyo ) Mkuu.

Kuna Watu wamekariri kwakuwa GENTAMYCINE ni Simba SC Mwenzao basi katika hili ( Uhuni ) nitaikandamiza sana Yanga SC ( Watani zetu na Wapinzani wetu wakubwa ) ila Simba SC yangu nitaitetea na kuibeba katika hili. Nasisitiza tena kuwa hata Sisi Simba SC pia 'tunahonga' kama ambavyo Yanga SC nao 'wanahonga' Timu Pinzani.

Nichukieni ila huu ( huo ) ndiyo ukweli.
 
Ha ha ha! Kaka nilipata mashambulizi mazito toka sehumu flani hivi,nikabadili upepo! Nakumbuka siku ile kina Mgosi walikuja pale hostel,nikajua tu hawa watu,wana mambo yao! Hata kuna mchezaji mmoja anaitwa Nsaa Job,alishawahi sema hii kitu!
Simba na Yanga wanahonga sana Mkuu.
 
Ungemalizia na kusema iwapo ni kweli prison walikataa m 40 ya Yanga basi kuna dau kubwa zaidi ya hilo walihaidiwa iwapo wataifunga Yanga,asukile pale alionyesha hasira zake kwa baada ya kukosa huku na huku
 
Ha ha ha! Kaka nilipata mashambulizi mazito toka sehumu flani hivi,nikabadili upepo! Nakumbuka siku ile kina Mgosi walikuja pale hostel,nikajua tu hawa watu,wana mambo yao! Hata kuna mchezaji mmoja anaitwa Nsaa Job,alishawahi sema hii kitu!
Ilikua villa squard na simba pale taifa,villa wakashinda goli 1,kama sikosei goli la kona alifunga jamaa yangu george nketo kaseja akadai jua lilimpiga usoni akuliona lile goli,baada ya game nsa akadai madai kama yale ya asukile
 
Hata simba nawajua mimi kuwa wanafanta hivi sana,unamkumbuka jabir shikamkono?,yapo matukio mengi sana nukipata muda nitayamwaga hapa
 
Hivi Simba wangekuwa wanahonga wangekataliwa magoli halali kama lile la Gwambina au wangefungwa kwa penati ya madhambi nje ya box au kunyimwa penati na wachezaji wake kuchezewa rafu bila kupewa kadi.
Utopolo baada ya kushindwa kuwahonga prison walihonga marefa kwisha mchezo. Prison walivyo mazuzu wakataka wafunge magoli ndani ya 18 badala ya kufunga magoli dizaini ya Shabalala au Prince Dube mbayo refa hana ujanja nayo
 
Ukiachana na hizi tuhuma mnazotaka kuijumuisha na Simba. Mjue kuwa mpira hauchezwi chumbani, mpira unachezwa uwanjani na sote tunaona.

Simba wanacheza soka safi tu pale uwanjani na wanapata ushidi kihalali uwanjani tena kwa kiutawala timu pinzani kila idala.

Hawa yanga mpira wanao cheza wote tunauona timu hata kupiga pasi 6 tu ni mtihani sa hapo unategemea nini Kama si kuhonga marefa na wachezaji?
Walisomea watu visomo hapa juzi tu.
Wakatishia kujitoa kwenye ligi na maandamano sasa leo ni lipi la kushangaa?

Kama Simba imefika hatua Inapata ushindi ugenini dhidi ya Platieu.
Inapata ushishidi ugenini dhidi ya Vita Club.
Inashida dhidi ya Ahaly na kucheza soka safi nyumbani na ugenini eti leo ije kuwaogopa Ihefu au kagera sugar hadi wahonge hela?

Hilo haliingii akilini tena kwa mpira wanao cheza mmh labda hayo mambo yalikuwa miaka hiyo ila kwasasa hapana.

Hizo 40m si Bora wampe bonus Luis, Chama, Lwanga na Onyango wacheze tu kwa hamasa ya hali ya juu basi ushindi ni uhakika mbele ya timu yoyote hapa bongo, hakuna haja ya kuhonga honga.
 
Shangaa na wewe mkuu
 
UMEMALIZA KILA KITU HAPA. HII POINT YA KUFUNGIA MJADALA. UBARIKIWE SANA
 
Umesema michezo ya rushwa inafanywa sana timu za Yanga, Simba na Azam. Lakini uzi wako wote umeanisha rushwa wazifanyazo timu ya Yanga. Hakuna uthibitisho/ushahidi kuonesha Simba na Azam wamehusika katika hayo. Acha unafiki kijana
 
Hizi team Kubwa za kibongo wanasajiri kwa pesa nyingi, wana leta makocha kutoka nje, wanahonga marefa wanazifanyia figisu team ndogo na bado wana ongeza nguvu za waganga
 
Umesema michezo ya rushwa inafanywa sana timu za Yanga, Simba na Azam. Lakini uzi wako wote umeanisha rushwa wazifanyazo timu ya Yanga. Hakuna uthibitisho/ushahidi kuonesha Simba na Azam wamehusika katika hayo. Acha unafiki kijana
Don't waste my time you typical Moron.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…