geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 667
- 974
Somalia viongozi wao wamekalia kugombania madaraka tu mwaka hadi mwaka ni vikao tu vya wajeda na mapolisi na walipko madarakani. Hawana hata muda wa mumobilize resources kupambana na janga la Ukame na njaa.Aisee mungu awape shifas
Ila hii Afrika aisee mungu atusaidieSomalia viongozi wao wamekalia kugombania madaraka tu mwaka hadi mwaka ni vikao tu vya wajeda na mapolisi na walipko madarakani. Hawana hata muda wa mumobilize resources kupambana na janga la Ukame na njaa.
Ni laana tupuIla hii Afrika aisee mungu atusaidie
ANi laana tupu
Mambo haya ungetegemea Saudi Arabia, Qatar, UAE, Oman, Turkey watoe misaada ya ubinadamu Somalia. Lakin kimyaaaKwa kile kinachoendelea Somalia sioni jitihada za wazi na makusudi za kuwasaidia awa wa-afrika wenzetu. Hata kama sababu ni maisha magumu yaliyo sababishwa na covidi, mafuta kupanda bei na vita vya Ukraine lkn kama binadamu Somalia sio wakuachwa wafe njaa.
Nakubali misaada ipo lkn si kwa kiwango cha tatizo lililopo. Mbaya zaidi nchi zetu za Afrika zipo kimya sidhan kama kuna nchi hata moja imepeleka angalau kibaba cha mahindi, hatuwezi kuwachangia hata kidogo? Tunasubiri Marekani atusaidie alaf akituambia tutambua haki za mashoga kelele kibao.
Sipati picha mateso wanayopitia, kweli uumwe njaa mpaka ufe!! alaf jirani hakusaidii sitegemei kama ukipona utakua binadamu mwenye huruma na upendo kwa chochote kilicho mbele yako.
Na amini kama nchi tukiamua tunaweza kufanya jambo kwa awa ndugu zetu, tusisubiri matamasha ya WE ARE THE WORLD from USA. We can do it here in TZ tujimobilize sector zote na mtu mmoja mmoja kwa support kubwa ya serikali na vyombo vyote radio, TV, wasanii wote etc etc.
Picha kView attachment 2379251View attachment 2379250View attachment 2379252View attachment 2379261wa hisani ya chanel 24 news
#TUNAWEZA KUFANYA JAMBO SOMALIA
WALICHOMA MISAFARA YA MAGARI YA MSAADA BILA AIBU.Wale washenzi sana Al Shabaab wanashambulia misafara ya misaada wa chakula ....
Sijui kwanini Duniani kuna mijitu ina roho mbaya sana bila hata chembe ya utu.WALICHOMA MISAFARA YA MAGARI YA MSAADA BILA AIBU.
HUYU MLETA UZI SIJUI KAMA HAKUSIKIA
😅😅😅waarabu unawajua au unawasikia. Sio watuSi kwa ubaya ila hii ni nchi ya kiarabu nilitegemea mataifa ya kiarabu yawe mstari wa mbele kusaidia cha ajabu ni mashirika ya watu wa magharibi ndio wameendelea kupambana.
Yaan daaIla hii Afrika aisee mungu atusaidie
Ningeshangaa kama isinfetokea comment hii!😅😅😅waarabu unawajua au unawasikia. Sio watu
Sio mabeberuDini na udikteta vimeiharibu kabisa hiyo nchi
nimekuelewa vizuri sana mkuu, lkn unadhani niSomalia viongozi wao wamekalia kugombania madaraka tu mwaka hadi mwaka ni vikao tu vya wajeda na mapolisi na walipko madarakani. Hawana hata muda wa mumobilize resources kupambana na janga la Ukame na njaa.
Kuna maeneo yanayoshikiliwa na alshabab hayo ni magumu kufikika lkn yapo yaliyochini ya serikali yanafikika lkn hakuna misaada. Lkn wewe una amini misaada haiwezi fika huko baidoa sbb ya alshabab? Yaan dunia iendelee kushuhudia watu wanakufa njaa sbb ya alshabab? Ukweli ni kwamba Dunia haijaamua kuisaidia Somalia, hao mabwana zetu wazungu wasingekua wanashughulishwa na Putin uenda wangeingia mzigoni na chakula kingefika japo kwa minded.WALICHOMA MISAFARA YA MAGARI YA MSAADA BILA AIBU.
HUYU MLETA UZI SIJUI KAMA HAKUSIKIA
Mkuu kua huru na usifungwe na hizi imani, tusimamie thamani ya ubinadamu.Mambo haya ungetegemea Saudi Arabia, Qatar, UAE, Oman, Turkey watoe misaada ya ubinadamu Somalia. Lakin kimyaaa