Kwa kina mama wa kambo wote

prospa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
554
Reaction score
157
Hivi umeolewa na ulipokuwa unaolewa umemkuta mumeo ana mtoto, tumuite mtoto wako wa kufikia then na wewe umejaliwa na Maulana ukapata mtoto je ni sahihi ukiulizwa na watu kusema kuwa una mtoto mmoja na je watu wakija kukutembelea uanamtambulishaje mtoto wako wa kufikia kwani ushasema wewe una mtoto mmoja?
 
Unajua kwanza roho hazifanani na zipo tofaut kama vidole vya mkono


Sijaona mantik ya kuachA kusema nina watoto wawili hata kama s wangu si bure ana mapungufu kichwan huyo
 
Unajua kwanza roho hazifanani na zipo tofaut kama vidole vya mkono


Sijaona mantik ya kuachA kusema nina watoto wawili hata kama s wangu si bure ana mapungufu kichwan huyo
Utajiskiaje we ukitambulisha wasema wako(wenu)af mmeo anasema ni wake?
next time utasemaje?
 
Utajiskiaje we ukitambulisha wasema waki af mmeo anasema ni wake?
next time utasemaje?
kwanini usiseme wetu na kwanini useme mmoja so huyo mmoja ni kijakaziiii
 

Kwa mila za kiafrika anaeolewa na baba ni mama, kwa wazungu wao mama ni yule aliyekuzaa au amekuadopt. Kama umeolewa na mzungu ukamkuta na mototo wake, usishangae mototo yule akakuita kwa jina lako la kwanza, yeye anajua mama yake ni yule aliyemzaa (biological mother).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…