Kwa kichwa hiki cha habari, gazeti hili litabaki?

Vichwa vya habari vya magazeti mengi ni tatanishi na imekuwa hivyo kwa mda mrefu sana, sijui kwa nini mamlaka za udhibiti hazikemei.
Na vichwa vya habari vingine ni hatari kweli kweli sasa fungueni hii PDF ya gazeti la ANNUUR la February 2015 muone kichwa cha habari kifuatacho then muingie kurasa za ndani kuisoma habari yenyewe.

Jihad kubwa inahitajika Tanzania
-Ni baada ya taarifa za Amboni, Tanga
-JWTZ wajue Jihadi hii inawahusu pia


Mliosomea hii taaluma ya habari uandishi wa namna hiyo ni sahihi kweli?
 

Attachments

  • ANNUUR.pdf
    9.5 MB · Views: 198
Back
Top Bottom