mkuu Salary Slip jana umetafutwa sana hapa, si unajua tena wakosoaji wa sizonje hatuko salama sana, tunasakwa kama digidigi.Wala hamna tatizo hapo.
Hiyo gia inabadilishwa kila mara lakini hatuoni matokeo....imefika wakati waweke neutralView attachment 448354
UHAINI NA UCHOCHEZI.
Watashindanaaaaaaa ( kwa sauti ya Mzee wa Bapa) hawatashindaaaaaaamkuu Salary Slip jana umetafutwa sana hapa, si unajua tena wakosoaji wa sizonje hatuko salama sana, tunasakwa kama digidigi.