Kwa kibano hiki Lowassa hatoki

Kwa kibano hiki Lowassa hatoki

Husipige kelele na watu wachache mitandaoni, jaribu apo unapoishi kuwauliza raisi ni nani!?
 
Mangumi anayopigwa Lowassa si mchezo. Huku CCM na huku ACT(CCM B) Hawa mapigo yao kwa Lowassa no copy & paste. Kwenye TV napo usiseme. Kila habari nI CCM tu. Kwenye Radio ndo kamalizwa kabisa. Radio uhuru ndio editor wa radio zote. Hapa Dar picha zake labda abandike chini kwenye lami kila sehemu Magufuli.

Njaa mbaya sana.
 
Mwanzo alijifanya anaweza kushindana sasa yameota mbawa

Saa hz anatembea na Lisu.Lisu naye ametengenezesha mabango pale mtaa wa Swahili Karıakoo kwa ajili ya kuyapeleka Singinda na kuyatelekeza.Hv huyo Lisu jimboni au mkoanı kwake hakuna vijana wanaoweza kutengeneza fremu za picha zake mpaka aje Dar??Naye anawalaghai Watanzania eti atawakomboa!

Hakuna mgombea yeyote anayefanya kampeni kwa akili kubwa kama Lowassa.Kura hata zikipigwa kesho Lowassa ni Rais.
Kombe linaenda Monduli mwaka huu
 
Mangumi anayopigwa Lowassa si mchezo. Huku CCM na huku ACT(CCM B) Hawa mapigo yao kwa Lowassa no copy & paste. Kwenye TV napo usiseme. Kila habari nI CCM tu. Kwenye Radio ndo kamalizwa kabisa. Radio uhuru ndio editor wa radio zote. Hapa Dar picha zake labda abandike chini kwenye lami kila sehemu Magufuli.
Unazani picha au mabango ndo yanapiga kura??? Hahaha kama unadhani ni ndiyo basi utakuwa umekosea. Mi siendi kwenye mkutano wowote ila kura yangu nlishaipiga tangu mwaka jana.
 
Watanzania watu wa ajabu sana pamoja na kuteswa na ccm miaka54 bado wanaikumbatia

Twende na LOWASSA,sina imani na waigaji
 
hata huku Moshi kajaza mabango mengi manspaa nzima akzan kuwa atapata kumbe ukwel tunao sisi.
ndo hvyo hvyo kwa maguful tukakavyomchinja.. kula ccm, kura UKAWA
 
Mangumi anayopigwa Lowassa si mchezo. Huku CCM na huku ACT(CCM B) Hawa mapigo yao kwa Lowassa no copy & paste. Kwenye TV napo usiseme. Kila habari nI CCM tu. Kwenye Radio ndo kamalizwa kabisa. Radio uhuru ndio editor wa radio zote. Hapa Dar picha zake labda abandike chini kwenye lami kila sehemu Magufuli.

Countdown 36 days. Maneno mengi hayana tija!
 
Kura hatupigii radio, tv, picha, magazeti...wala CCM, ACT.... KURA TUNAMPIGIA LOWASSA....

Lowassa ndio RAIS wetu, ndio KURA zetu tunampigia...!!!

Waache CCM wazunguke na wasanii, wamtangaze mgombea wao kama KUNA PROMOTION ya BIDHAA... sisi HATUJALI tushaamua ni LOWASSA tu...!!!

CCM tushawajua WANACHEZA NA MAISHA YETU...

Sasa KURA yako ndio MAISHA YAKO...!!!

PIGA kura, kuwachinjia mbali CCM... majizi makubwa haya..!!

Kweliiiiiii
 
Lowassa ni mbele tu hadi ikulu haangalii ubavuni wala nyuma
 
Back
Top Bottom