Kwa kibano hiki Lowassa hatoki

Kwa kibano hiki Lowassa hatoki

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
748
Reaction score
386
Mangumi anayopigwa Lowassa si mchezo. Huku CCM na huku ACT(CCM B) Hawa mapigo yao kwa Lowassa no copy & paste. Kwenye TV napo usiseme. Kila habari nI CCM tu. Kwenye Radio ndo kamalizwa kabisa. Radio uhuru ndio editor wa radio zote. Hapa Dar picha zake labda abandike chini kwenye lami kila sehemu Magufuli.
 
Mwanzo alijifanya anaweza kushindana sasa yameota mbawa
 
Kama hatoki kelele za nn!!! Kumbe kawaingia ndo mana mwaweweseka.
 
cku zinayoyoma hizo.mzee anaenda chukua nchi.cku zinakata si mchezo.
 
Saa hz anatembea na Lisu.Lisu naye ametengenezesha mabango pale mtaa wa Swahili Karıakoo kwa ajili ya kuyapeleka Singinda na kuyatelekeza.Hv huyo Lisu jimboni au mkoanı kwake hakuna vijana wanaoweza kutengeneza fremu za picha zake mpaka aje Dar??Naye anawalaghai Watanzania eti atawakomboa!
 
Kazi kweli kweli, mwaka huu mimi tu ndie najihisi nimekosa deal la chama hata kwenye social media.
Ila ili la kutumia Avatar 100, na kuweka post lukuki wakati ni wewe mmoja ndio inanipa headache.
 
Magufuli hana dalili wala sababu zozote za kushinda, lakini kuna baadhi ya watu wanajitoa ufahamu na kutoona muziki wa lowasa.
 
Kura hatupigii radio, tv, picha, magazeti...wala CCM, ACT.... KURA TUNAMPIGIA LOWASSA....

Lowassa ndio RAIS wetu, ndio KURA zetu tunampigia...!!!

Waache CCM wazunguke na wasanii, wamtangaze mgombea wao kama KUNA PROMOTION ya BIDHAA... sisi HATUJALI tushaamua ni LOWASSA tu...!!!

CCM tushawajua WANACHEZA NA MAISHA YETU...

Sasa KURA yako ndio MAISHA YAKO...!!!

PIGA kura, kuwachinjia mbali CCM... majizi makubwa haya..!!
 
Umejuaje kama hao waliomtengenezea sio wa Singida? Kariakoo ni kusanyiko toka kila sehemu pamoja na Singida.
Saa hz anatembea na Lisu.Lisu naye ametengenezesha mabango pale mtaa wa Swahili Karıakoo kwa ajili ya kuyapeleka Singinda na kuyatelekeza.Hv huyo Lisu jimboni au mkoanı kwake hakuna vijana wanaoweza kutengeneza fremu za picha zake mpaka aje Dar??Naye anawalaghai Watanzania eti atawakomboa!
 
Ukiona lowassa anatajwa sana ujue ni tishio mbona mama mwingira hatajwi??
 
Mangumi anayopigwa Lowassa si mchezo. Huku CCM na huku ACT(CCM B) Hawa mapigo yao kwa Lowassa no copy & paste. Kwenye TV napo usiseme. Kila habari nI CCM tu. Kwenye Radio ndo kamalizwa kabisa. Radio uhuru ndio editor wa radio zote. Hapa Dar picha zake labda abandike chini kwenye lami kila sehemu Magufuli.

Watashindana lakini hawataweza. Safari ya mafanikio siku zote imejaa vikwazo. Lowassa ndio rais wa awamu ya 5 amini hivyo.
 
Mangumi anayopigwa Lowassa si mchezo. Huku CCM na huku ACT(CCM B) Hawa mapigo yao kwa Lowassa no copy & paste. Kwenye TV napo usiseme. Kila habari nI CCM tu. Kwenye Radio ndo kamalizwa kabisa. Radio uhuru ndio editor wa radio zote. Hapa Dar picha zake labda abandike chini kwenye lami kila sehemu Magufuli.

C mligoma su mmeshalipwa hela zenu lummumba.
 
Mwana jf awe na uelewa ukienda kupiga kura ,ni wewe binafsi ,inakuwaje mtu ,amsemee na mwenzake ,naona hapo kuna tatizo
 
Lowasa nitajenga reli ya kati kwa kiwango cha lami huyu naye anasifa kweli za kuwa kiongozi wa taifa.
 
Back
Top Bottom