Kwa Kibaha-Maili moja Eid inaswaliwa sehemu gani?

Kwa Kibaha-Maili moja Eid inaswaliwa sehemu gani?

Dx and Rx

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
1,324
Reaction score
3,154
Heshimu kwenu wakuu.

Kwa wale ndugu zangu Waislamu ambao leo tunasherehekea sikukuu ya Eid El-fitri, kwa maeneo ya Kibaha Maili moja, wanaswalia sehemu gani....naomba mnijuze.

Ahsanteni.

Eid Mubarakah!!
 
Watu wa viunga vya kibaha tujuzane
 
Ungewahi msikitini unakoswali siku zote utakuta maelezo
Na inaonekana jana hukuswali kwani msikitini walitangaza
 
Back
Top Bottom