Kwa Kauli ya Meya wa Ubungo, Mradi wa Manunuzi Unamhusisha Mtu Mzito.

Kazi ya pesa ni kununua! Na mtu yeyote akikupa pesa ukaikataa ni kosa kisheria. Pesa ya marekani imeandikwa, 'This note is a legal tender, it MUST be accepted when offered'...

usd-1.png
 
Naona mpambano umekolea...Ila chadema inabidi wapambane kwa yanayowatokea sasa, lasivyo watajikuta chama kinamalizwa nguvu kama cuf
Wewe ni mjinga sana! CHADEMA ni wanachama siyo viongozi. 2015 kwenye uchaguzimkuu CHADEMA ilipata kura za urais zaidi ya mil 6. Hao ukiwanunua wote labda ndio unaweza kufikiri Chama kitakufa. Vinginevyo endeleeni kuota ndoto za mchana.
 
Bwana Meya aache unafiki hizi ni zama za ukweli na uwazi, aziweke hewani hizo audio ili watu wamjue bwana Manunuzi.

Halafu baada ya hapo wampeleke Takukuru na takukuru wakizingua moja kwa moja mahakamani..

HUMANI TRAFFIC NI BIASHARA INAYOKUA KWA KASI SANA TANZANIA..
Ukweli upi mkuu wa kufanya siri mbona kigoma kwa zitto mmeumbuliwa
Kuna mtu kawanyima wenzake kufanya ufisadi ili afisidi peke yake
 
Wanaonunuliwa walaaniwe maana hela wanayopewa ndio imepigwa panga kwenye mifuko ya cement pale hostel
 
Bwana Meya aache unafiki hizi ni zama za ukweli na uwazi, aziweke hewani hizo audio ili watu wamjue bwana Manunuzi.

Halafu baada ya hapo wampeleke Takukuru na takukuru wakizingua moja kwa moja mahakamani..

HUMANI TRAFFIC NI BIASHARA INAYOKUA KWA KASI SANA TANZANIA..
Bashite aweke vyeti
 
TULIENI MNYIKA YUPO KWENYE MIKONO SALAMA

Mwambieni Babaenu aache kupiga simu Ovyo,Tumemrekodi na tutaendelea kumrekodi tumuaibishee......Any time atume sms au apige tena aone!!!!!!!!!
Mnyika siyo Dizaini ya hao unaowapigia simu na kuwahahidi Vyeo na Madaraka ya kuhongwa.....Tunakuweka loudspeaker tunakusikiliza tuh.....ukikata simu tunacheeeeeeeeeeeekaa.

Etiiii unamwambia Binadamu Mwenzako unamtaka kwa gharama yeyote.......ili nini?
(From Mayor Boniface FB page)

My take;
Sina sababu za kumdhania uongo Mayor anayeheshimika na raia wa Ubungo, lakini najiuliza huyo "babaenu" anayetajwa hapo ni nani? Na jee ndiye kinara wa biashara hii ya manunuzi?
Jee kama yeye ndiye nimdhaniaye ndiye, kumbe kakosa la kufanya mpaka afikie kuwa na matendo kama haya ambayo hayajapata kuandikwa kwa watangulizi wake?
Umekosa raha kamanda, wewe na yule mshahara kuingizwa hamna raha kabisa mnahangaika sana kama mtu alibanwa na choo then hapana pa kujisaidia.
 
Bwana Meya aache unafiki hizi ni zama za ukweli na uwazi, aziweke hewani hizo audio ili watu wamjue bwana Manunuzi.

Halafu baada ya hapo wampeleke Takukuru na takukuru wakizingua moja kwa moja mahakamani..

HUMANI TRAFFIC NI BIASHARA INAYOKUA KWA KASI SANA TANZANIA..
Tatizo watasema siyo sauti yake ni mtu kamuigiza.
 
Umekosa raha kamanda, wewe na yule mshahara kuingizwa hamna raha kabisa mnahangaika sana kama mtu alibanwa na choo then hapana pa kujisaidia.
Naona ndo umeamka! Hivi shift ya mchana na usiku malipo ni sawa?(7000/=)
 
Back
Top Bottom