Kwa Kauli ya Meya wa Ubungo, Mradi wa Manunuzi Unamhusisha Mtu Mzito.

Nauona upinzani ukielekea kuzimu na wanasiasa wote bila kujali vyama wajiandae kisaikolojia na waanze kutafuta ajira mapema, hapatakuwepo tena ulaji wa kisiasa maana wanasiasa ndio wameliangamiza hili taifa, amen!
Huko wanakohamia hakuna siasa? Au wanasiasa wa upande huo siyo walaji? Utakuwa na matatizo ya akili.
 
Upinzani huu hasara tupu..daily kudandia vihoja tuuuu...khaa
 
Wajukuu zetu watakua wanasimuliwa kua kuna kipindi alitokea mtawala yy kazi yake ilikua kuchukua kamera na kununua wapinzani hahahaaaa

Siasa mpk 2020 sasa hz anazofanya cjui ni nini asee au ndo maendeleo yenyewe haya?
 
Bwana Meya aache unafiki hizi ni zama za ukweli na uwazi, aziweke hewani hizo audio ili watu wamjue bwana Manunuzi.

Halafu baada ya hapo wampeleke Takukuru na takukuru wakizingua moja kwa moja mahakamani..

HUMANI TRAFFIC NI BIASHARA INAYOKUA KWA KASI SANA TANZANIA..
Hata zikiwekwa hewani hizo audio mtakataa kwa uhaya one wa kuzoea kukataa kama mlivyo kataa za nasari na kupandiishana vyeo .
 
Mimi nasubiri hizo sauti zilizorekodiwa ...... Kinyume na hapo itakuwa kiki tu.
 
Mluzidi kuhoji uhalali wa vyeti vya RC, ujenzi wa Chato International Airpot port, ujenzi wa Chato referral hospital.

Wale vidomo domo wote sasa wako CCM kama si wagonjwa kitandani.
"Kuhoji vyeti vya RC" Bashite ana vyeti? Kamwambie akuonyeshe cheti cha kidato cha nne kama hakukujibu madawa ya kulevya hayamwachi mtu salama
 
Bwana Meya aache unafiki hizi ni zama za ukweli na uwazi, aziweke hewani hizo audio ili watu wamjue bwana Manunuzi.

Halafu baada ya hapo wampeleke Takukuru na takukuru wakizingua moja kwa moja mahakamani..

HUMANI TRAFFIC NI BIASHARA INAYOKUA KWA KASI SANA TANZANIA..
walio peleka kina nasari ifanyien kazi kwanza
 
mhn! bado safari ni ndefu wacha tuendelee kubeba mabegi yetu.
 
Acha umbwiga uwe unaelewa, kwani CCM siyo chama cha siasa au umekula yale maharagwe wewe!!
Nchi inayoweza kuunda serikali duniani bila chama cha siasa ni ile inayoongozwa kijeshi...unashauri tufike huko? Hayo ni matatizo ya kusoma kwenye vyuo duni halafu unajitokeza mbele ya wanaume kufua wazi kumbe kichwani ziro.
 
Back
Top Bottom