Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,909
- 20,794
No, hata kama unajua huwezi kujivuna kiasi hicho. Zitto amepitiliza. "Hawa hawa anaowakejeli ndio waliomfikisha hapo alipo.Tunajua!"Kwani uzalendo mpaka mtu aunge mkono hoja ya makinikia?
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake jamani ,Hapo zito ametekeleza wajibu wake wa kikatiba mengine mnayatafsili nyinyi.
Tatizo ni kwamba anadhani anachokijua yeye ndicho sahihi.Ni vema watu wakajua kwamba there are more than three ways of doing the same thing.A higher level of IQ and knowledge enables one to identify the best alternative.Sioni Kama Zitto ana either of these two,kwa hiyo majigambo yake ni unjustified.Infact majigambo yake yana drive the point home,kwamba IQ yake na knowledge ni ndogo.I pity him.