Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,911
Pale alipo-suggest Tanzania tuwe na slogan ya kutangaza nchi yetu kama ilivyo kwa nchi za wenzetu ambazo zina sloga zao na akataja nchi kadhaa ikiwemo kenya ambayo alisema slogan yao inaseme:
"Kenya the Pride of Africa."
Kwa Tanzania akapendekeza tuwe na slogan inayosema:
"Tanzania the roof of Africa"
Kasema hivi kwasababu Tanzania tuna mlima Kilimanjaro ambao ni mlima mrefu kuliko yote barani Africa.
Binafsi kanigusa sana kwa kupendekeza hii slogan na ili inoge basi itakuwa vizuri kama itaambatana na picha ya mlima Kilimanjaro.
Binafsi nashauri slogan hii ikiwa sambamba na picha ya mlima kilimanjaro iwe inapatikana katika ndege za Air Tanzania zitakazonunuliwa/zilizokwisha nunuliwa kwa lengo la kusaidia kutangaza utalii.
Kama itakuwa ni vigumu kuweka slogan hiyo na picha ya mlima Kilimanjaro katika ndege za ATCL basi sloga hiyo sambamba na picha ya mlima kilimanjaro viwe inapamba cover page ya vipeperushi/vijarida vinavyotolewa /vitakavyokuwa vinatolewa kwa abiri wa ndege za ATCL .
Kama ATCL haina vipeperushi au vijarida vya aina hivyo basi huu ni wakati wa kuwa navyo.
Pamoja na yote tunayoyasikia kuhusu ndege hizi ila bado itakuwa ni vizuri tukafanya hivi maana teyari zimeshagharamiwa kwa kodi zetu na hatuna pa kuzipeleka na zitabaki tu kuwa ni zetu.
Askofu Gwajima aungwe mkono japo anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu.