Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Wanabodi.

Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020,

1. Kwa Kazi Hii Nzuri Anayofanya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Hivi Kweli Tanzania, Tuna Haja tena ya Kufanya Uchaguzi Wa Rais kwa mwaka 2020?.

2. Hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, na badala yake , ili kuokoa pesa, mali na muda?, na Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025?!.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike hata kama ni wastage of time, money and resources?!.

4. Na hiyo 2025 tukimuona bado anaweza, na anatufaa, kuna ubaya kuibadili katiba yetu tumpatie extension ya kutosha kuinyoosha Tanzania?!.

5. Kwani katiba ni nini?,si ni kipande tuu cha karatasi?!, nini muhimu kati ya kipande cha karatasi na umuhimu wa Magufuli kwa taifa?!.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, tukimtaka Magufuli, si tunaweza kuiweka tuu katiba pembeni?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu?!,

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!.

9. Na jee kuna ubaya wowote wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, na badala yake CCM ndio iwe inatoa rais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mefu kwenye urais?.

10. Na kufuatia somo la urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado watahitaji kweli kusimamisha mgombea kushindana na Magufuli?!, kutakuwa ni kugombea au kujifuahisha tuu?!, au hata ikitokea ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Paskali
Kuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais 2020, au tuokoe pesa kwa kumwacha Magufuli aunganishe tuu akamilishe kazi?.

P.
 
hatuhangaiki na upuuzi ukikosa cha kuandika nenda baa ukatulize mawazo
 
Wanabodi.

Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja ya kufanya tena uchaguzi wa rais?, si tumwache tuu aendelee?.

1. Kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya kchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tuu aendelee mpaka 2025?.

2. Jee hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, kwa Magufuli kupita bila kupingwa, na badala yake , ili kuokoa pesa, mali na muda?, na Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025?!.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike hata kama ni wastage of time, money and resources?!.

4. Na hiyo 2025 tukimuona bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili katiba yetu tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.

5. Kwani katiba ni nini?,si ni kipande tuu cha karatasi?!, nini muhimu kati ya kipande cha karatasi na umuhimu wa Magufuli kwa taifa?!.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, tukimtaka Magufuli, si tunaweza kuiweka tuu katiba pembeni tukaendelea na Magufuli wetu?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu?!,

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Jee kuna ubaya kama Magufuli akipatiwa muda wa kutosha kama Kagame, Museveni au kama Mugabe?.

9. Na jee kuna ubaya wowote wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, na badala yake CCM tuu ndio iwe inatoa rais siku zote kufuatia long eksipirience ya CCM na uzoefu wa muda mrefu kwa CCM kwenye urais?.

10. Na kufuatia somo la urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea kushindana na Magufuli?! 2020?, kutakuwa ni kugombea au kujifurahisha tuu?!, au hata ikitokea huyo mgombea wa upinzani ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Paskali
ni kweli miaka 10 haimtoshi?
Sisi tulipendekeza tangu ile ile 2015, sasa leo 2017 watu ndio wanaanza anza kukubali, kufikia 2020 atapita bila kupingwa na 2025 tutampa extention of time.

Paskali
 
Kumbe Paskali umepungukiwa akili kiasi hiki, umepewa kitu kidogo au? Kama kwa umri wako huoni maana ya transition of power wewe ni kiazi kikuu
 
Wanabodi.

Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja ya kufanya tena uchaguzi wa rais?, si tumwache tuu aendelee?.

1. Kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya kchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tuu aendelee mpaka 2025?.

2. Jee hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, kwa Magufuli kupita bila kupingwa, na badala yake , ili kuokoa pesa, mali na muda?, na Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025?!.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike hata kama ni wastage of time, money and resources?!.

4. Na hiyo 2025 tukimuona bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili katiba yetu tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.

5. Kwani katiba ni nini?,si ni kipande tuu cha karatasi?!, nini muhimu kati ya kipande cha karatasi na umuhimu wa Magufuli kwa taifa?!.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, tukimtaka Magufuli, si tunaweza kuiweka tuu katiba pembeni tukaendelea na Magufuli wetu?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu?!,

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Jee kuna ubaya kama Magufuli akipatiwa muda wa kutosha kama Kagame, Museveni au kama Mugabe?.

9. Na jee kuna ubaya wowote wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, na badala yake CCM tuu ndio iwe inatoa rais siku zote kufuatia long eksipirience ya CCM na uzoefu wa muda mrefu kwa CCM kwenye urais?.

10. Na kufuatia somo la urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea kushindana na Magufuli?! 2020?, kutakuwa ni kugombea au kujifurahisha tuu?!, au hata ikitokea huyo mgombea wa upinzani ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Paskali
Naendelea kukuunga Mkono Paskali ktk hoja hii. Kwa manufaa ya Umma na kizazi kijacho.

Hivi sasa tayari tumeshaona kila dalili za kutikiswa na wenye nguvu baada ya kuingia katika vita hii ya Uchumi. Hivyo ni busara kuondoa baadhi ya vikwazo ili tuupe uongozi huu muda wa kutosha kutimiza kazi hii muhimu sana kwa Taifa letu.
 
Mkuu Zanika, Huu ndio uzalendo.

P.
 
Wanabodi.

Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja ya kufanya tena uchaguzi wa rais?, si tumwache tuu aendelee?.

1. Kwa kazi hii nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivi kweli Tanzania, tuna haja tena ya kufanya kchaguzi wa rais kwa mwaka 2020?, au tumwache tuu aendelee mpaka 2025?.

2. Jee hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, bila kufanya uchaguzi wa rais, kwa Magufuli kupita bila kupingwa, na badala yake , ili kuokoa pesa, mali na muda?, na Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025?!.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike hata kama ni wastage of time, money and resources?!.

4. Na hiyo 2025 tukimuona bado anaweza, na anatufaa, jee kuna ubaya kuibadili katiba yetu tumpatie extension of time ya kutosha kuinyoosha Tanzania hadi inyooke kabisa?!.

5. Kwani katiba ni nini?,si ni kipande tuu cha karatasi?!, nini muhimu kati ya kipande cha karatasi na umuhimu wa Magufuli kwa taifa?!.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, tukimtaka Magufuli, si tunaweza kuiweka tuu katiba pembeni tukaendelea na Magufuli wetu?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu?!,

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!. Jee kuna ubaya kama Magufuli akipatiwa muda wa kutosha kama Kagame, Museveni au kama Mugabe?.

9. Na jee kuna ubaya wowote wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, na badala yake CCM tuu ndio iwe inatoa rais siku zote kufuatia long eksipirience ya CCM na uzoefu wa muda mrefu kwa CCM kwenye urais?.

10. Na kufuatia somo la urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado kweli watahitaji kusimamisha mgombea kushindana na Magufuli?! 2020?, kutakuwa ni kugombea au kujifurahisha tuu?!, au hata ikitokea huyo mgombea wa upinzani ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Paskali
Mshauru asiingile mihimili 3. Ijitegemee Kwasasa Mahakama haziko huru mfano hai zuio la Mahakama la bomoa bomoa dar limepuuzwa. Akomeshe '''The so called Maagizo toka juu'''Vinginevyo kasi yake itakuwa ni ya Mende sakafuni ''Bunge lenyewe kibogoyo wanasubiri kukaushwa mate''
 
Back
Top Bottom