Kwa kasi hii maendeleo lazima

Kwa kasi hii maendeleo lazima

Tatizo sio kulipa kodi, tatizo KODI yangu inatumikaje? Nikihoji naletewa police! Haingii akilini kodi yangu ninayo itoa kwa jasho CAG asiruhusiwe kukagua kama imetumikaje?

Yani KODI yangu chama twawala kikafanyie kampeni kweli?
Pesa yetu akahongwe mbunge ili ajiunge CCM agombee tena achaguliwe tena maendeleo ni ndoto za mchana tunaongozwa na washamba
 
Back
Top Bottom