Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Walaaniwesiyo mimi ni waoo
Walaaniwesiyo mimi ni waoo
Walaaniwesiyo mimi ni waoo
dondoko la shilingisiyo mimi aliyekuwa ananiambia alisema 5000, ilikuwa 2016


maybe sh 5000 ya mwaka 2016 iko na value ya 20000 ya mwaka 2019 
yawezekana aiseedondoko la shilingimaybe sh 5000 ya mwaka 2016 iko na value ya 20000 ya mwaka 2019
![]()
MKUU WALIBUGI SANA HAPO , MAGUFULI AANGALIE UPYAmkuu ulisema kitambulisho kinauzwa bei gani??
Je bado tuendelee kuamini kuwa maendeleo ni lazima kwa mwenendo huu ??
Madawa hospitalini yapo mbona bohari limejaaaPelekeni kwanza madawa hosp...!alafu mimba yangu ya mwisho eti nilichajiwa kadi ya kupimia mimba..nikitoa 2000..niliudhika balaa...!malizeni mambo ya muhimu nitachukua....tafuta boss yyt wa TRA ukae naye akueleze jins wanavyopata shida kwenye ukisanyaji..makusanyo yamedoroa dorooo..yamefubaa km uso wa Mwita Waitara😏
MKUU britanicca HUU MPANGO MWAKA 2016 NILIKUWA NAMUONA JAMAA MMOJA KARIBU NA STENDI YA BUZURUGA MWANZA AKIUHANGAIKIA,ILIKUWA NI IDEA YAKE NA ALIKUWA AKISEMA SIKU MOJA NITAFANIKIWA TU...IKO HIVI IDEA HII ALIMPA KIKWETE ILI HAIKUFANYIKA JAMAA AKAHUSTLE KIPINDI CHA KAMPENI 2015 JK AKAMUUNGANISHA KWA JAMAA,SIKU MOJA AKIONGEA NILI MCHALLENGE SANA .ILA YEYE ALIKUWA AMELENGA MACHINGA KWELI SIYO INAVYOFANYIKA SASA HIVI..SORRY KWA KUANDIKA KWA CAPITAL LETTERS,NA INSIST TU...NAJUA HUKO ALIKO KESHAPATA HELA YAKE ILA HUU MRADI NI HOPELESS KABISA LEO KUNA MASOKO MACHAFU NA ULINZI SHIDA SABABU UBISHI WA KUTOA ZILE 500 ZA KILA SIKU,MBAYA ZAIDI HIZI HELA ZA VITAMBULISHO ZINAENDA KULIPIA MAFUTA NA SERVICE ZA MAGARI YA KIFAHARI Y AKINA BASHITE.DAMN ITyawezekana aisee
Kwa mwezi... kwa mwaka ni 60,000Kumbe mlipanga iwe 5000? Sasa mbona mmeweka 20,000
Madini yakishaisha ndo tutakapo elekeaKatika Pita pita za pale Viunga Fulani nikakutana na mtu muhimu kwenye Habari za nchi kaniambia yafuatayo
Kila mwananchi lazima alipe kodi. Kuna mfumo wa kuleta utaratibu kama wa nchi Soviet zamani, kila mwananchi alipewa kitambulisho, kuanzia wafanya biashara wadogo wadogo, walilipa Russian rube kadhaa,
Nimesikia
1.Machinga wote kusajiliwa nchi nzima kupewa vitambulisho, kila mkoa utapewa target, na wilaya kila kitambulisho itakuwa 5,000
2.Mama liishe wote
3.Boda Boda wote
4.Wenye maduka madogo madogo
5.Wafugaji
6.Wakulima
7.wafanya kazi wadogo wadogo
Hela hiyo itasaidia sana kwenye kuyatatua Matatizo kuliko kuomba omba nje,
Watanzania wapo 50,000,000 Wenye uwezo wa kuzalisha ni, 20,000,000
Hivyo 20,000,000 times 5,000 ni 100,000,000,000 kwa Mwezi, ni hatari
Britannica
ibaki hii kwa mwaka ni ndogo mkuu, vinginevyo 5,000x12 tungelipa 60,000!!!Kumbe mlipanga iwe 5000? Sasa mbona mmeweka 20,000
umeangalia ni uzi wa lini huo haha eti ni upuuzi wa kuleta Jf
Mkuu mbona sioni comment yangu ya enzi hizo? Sikumbuki nilichangia nini kwenye huu uzi.alafu Jungle Warrior kitambulisho wakafanya 20,000
Mkuu za sikuMkuu britanica hii nchi unaijua vilivyo kabisa huwa nafuatilia Sana Mada zako umekuwa Kama mtabiri mkuu
Hii Mada n ya 2016 lakn Ndyo yanatokea Leo uliniacha hoi hasa sakata la mbunge wa ukonga kuwa naibu wazir na akawa kweli
Inaonekana upo jikoni Sana mkuu maana si kwa utabiri huu mkuu
Nimekuita uoneMkuu mbona sioni comment yangu ya enzi hizo? Sikumbuki nilichangia nini kwenye huu uzi.
HahahaIle list ya kushughulikiwa huku mitandaoni inaanza lini kufanyiwa kazi? Au ongea nao watupe kitu na sisi tuunge mkono juhudi kaka.
Kodi ya kichwa,asiyoweza kagua CAG ya kumnufaisha baba Na mwana, nasubiri siku MTU aniulizie juu ya kodi hii ya kichwa nilale nae mbeleEti kila mwananchi anapaswa kulipa kodi vichekesho,mbona hao wenye vipato vikubwa kama mawaziri na wabunge hawalipi izo kodi?