Kwa jinsi roho zilivyo juu juu Kuna watu bado mna appetite ya mapenzi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,568
44,786
Wakuu nauliza kwa jinsi muenendo wa Dunia kwa Sasa,utandawazi na athari zake,na hii hofu ya kifo nyakati hizi bado Kuna watu mnaweza kuthubutu kufanya uasherati au ngono?

Maana Mimi sielewi kwanini nimekata tamaa na mahusiano kabisa naona mapenzi Ni Kama biashara kwanini nisipotoa hela hakuna hata kukumbukwa ndo Kwanza unawekwa pembeni pesa ndo kila kitu Sasa kwa jinsi nilivyo mbahili siwezi kustahimili kuombwa pesa yangu borea nile tu hela yangu ila sio kumtumia mpenzi ambaye hata simpati.

Pesa nitakupa Kama tunaishi wote au Nimekuoa tofauti na Hapo kaa kwa kutulia sitaki lomoni na Wala Sina mzuka na punyeto kifupi nasikiliza kwanza.
 
Puuzieni hizi taarifa za uzushi; tuchapeni kazi, tuchukue tahadhari & kumtanguliza Mola
Kuna wanawake sio wastaraabu kisa tu nakupenda ndo uniombe hela ambayo Mimi nakutana na matata mengi Sana ninapoitafuta.nije nikupe kizembe tu halafu hapo bado uniletee mapozi
 
Sasa bro utatmba pesa zako?
Nataka zali la mentali linishukie nipate mwanamke aidha mwenye hela zake yaani hatuombani hela sisi tunatumia tu maisha yanaendelea kila mmoja na marundo yake halafu at the same time huyo mwanamke awe na mizuka yaani asiwe anakataa kataa kunipa. Mapozi ndio yawepo ila sio zile una mfanya na mtu Kama vile unamlazimisha Sana eti mpaka ugombane kisa mapenzi
 
Ni kweli maana si wengine mabachelor halafu ma single boy kwa Zaidi ya miongo miwili
Ewe bachelor, mwaka huu hautapita bila kupata tuzo.
Nami nakwambia tuzo ya CHAPUTA na ya wanaume bahili lazima uipate.
Ni nani kati yenu hapa mwenye uvumilivu huo? Akaae gheto na afahamu
 
Kasinde na mahaba damdam...

Hapa nilipo nasubiria sukari ipoe nifanye yangu.

Pesa inaachaje kutoka sasa, na sijawahi kuomba hata siku moja.

Alamsiki .
Hongera..halafu kasie umeona ulivyo mzushi uliniambia utaniunganishia na wife material fulani yule MLUTHER
 
Nataka zali la mentali linishukie nipate mwanamke aidha mwenye hela zake yaani hatuombani hela sisi tunatumia tu maisha yanaendelea kila mmoja na marundo yake halafu at the same time huyo mwanamke awe na mizuka yaani asiwe anakataa kataa kunipa k .mapozi ndio yawepo Ila sio zile una mfuck mtu Kama vile unamlazimisha Sana eti mpk ugombane kisa mapenzi
Dah bro bora tu uwekeze kwenye nyeto!!
 
Hongera..halafu kasie umeona ulivyo mzushi uliniambia utaniunganishia na wife material fulani yule MLUTHER

Doooh uzee huu..,,

Nilijisahau banaa, jumapili iliyopita tumepokea mahari yake 🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️
 
Back
Top Bottom