Kwa ili naombeni msaada wenu ndugu zangu

Kwa ili naombeni msaada wenu ndugu zangu

faru joni

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
478
Reaction score
734
MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA

Habari za muda huu kwa mara nyingine tena

Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana

Elimu yangu: Degree

Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)

Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)

》Computer Networking

》 System analysis and design

MSAADA WENU WAUNGWANA

MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA

KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU

NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY

NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO

MUNGU WABARIKI SANA

NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI

NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
 
daaah si tuliopoteza kazi baada ya maamuzi ya aliye darisalama tumeshazoea huku mtaani.

pambana usikate tamaa
 
Pole sana kijana kwa kuhangaika kutafuta ajira na nimepitia posts nyingi kwa kweli nimehuzunika sana kuona hali ilivyo huko.

Ipo siku utapata naamini hilo ila pia naona unahitaji hata vitendea kazi pia
I wish ningekuwa huko ningekusaidia kwa njia moja ama nyingine
Good luck buddy and all the best

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ubarikiwe sana mkuu
 
Pole sana kaka.. naelewa unavojiskia maana hata mimi nimepita hali kama hiyo.. ujaribu embu pia kupeleka CV yako kwenye hizi kampuni za security huwa wanahitaji watu kwenye fani yako. Mungu akubariki.. endelea kupambana
 
Asante mkuu nitafanya ivyo, ila pia nilishapeleka kwenye baadhi ya makampuni
 
Ipo sehemu gani mkuu, naomba unielekeze mkuu
Ipo maeneo ya Upanga...karibu na jengo la Ubalozi wa Kenya kama sijakosea...ukitokea daraja la Salenda; ukinyosha kwa mbele utaiona upande wa kulia
 
Ipo maeneo ya Upanga...karibu na jengo la Ubalozi wa Kenya kama sijakosea...ukitokea daraja la Salenda; ukinyosha kwa mbele utaiona upande wa kulia
Ni gari gani nikipanda nafika, nikitokea mbezi ya kimara? ?
 
Nip nje ya Dar kidogo..ila nadhani amna magari ya kutoka kimara yanayopita Salenda...Ila ukifika Posta mpya unaweza kupanda gari ya kwenda Tegeta au makumbusho yanayopita Salenda then uwaombe wakuache Ubalozi wa Kenya au round about ya kwenda area 4 ...japo maeneo mengi nasahau kwa sasa.
 
Back
Top Bottom