baba terry
Member
- Jul 25, 2016
- 24
- 4
Sawa mkuu,lakn huwenda kunabaadhi washazinyaka,wacha tuwasubiri,Hii bado hawajaiprogram
Nimefurahi umewaza mbali
nimekupa sana mkulu,,inayoitajika kwa sasa ni application ya kudownload kwenye Android kiongozKuna baadhi ya simu music app zake zina nguvu ya kufanya hivyo mfano nlikua natumia nexus4 ya samsung kipindi cha nyuma ilikua inauwezo wa kupiga mziki nikiwa naongea na mie na ninae ongea nae tukausikia
Music call player nenda playstore hii unasikia music wewe pekeako lakininimekupa sana mkulu,,inayoitajika kwa sasa ni application ya kudownload kwenye Android kiongoz
Shukrani mkuu,lakn nlikuanaitaji ya kusikika pande zote mbili(mpigaji na mpigiwa)Music call player nenda playstore hii unasikia music wewe pekeako lakini
Jaribu powerampShukrani mkuu,lakn nlikuanaitaji ya kusikika pande zote mbili(mpigaji na mpigiwa)
Shukran mkuu,wacha niitafute,ntaleta mlejeshoJaribu poweramp
Shukrani sana mkuu,,ngoja tuziendee,mrejesho utafuataunanikumbusha symbian, kulikuwa na app unaeka kelele za sokoni, au kelele za kituo cha treni/mabasi etc kama unataka kufake eneo ulipo.
jaribu hii app
Fancy Phone Call - IntCall - Android Apps on Google Play
pia jaribu hii
Spoof Call APK Download - Free Tools APP for Android | APKPure.com
Mkuu,vidmate inaplay one side pekee,haiwezi kuplay pande zote mbili yan kwa mpigaji na mpigiwa,,asante kwa wazo lako mkuuMkuu tumia vidmate music player yake ni non stop
Chief sijawai ona unaongelea vibaya symbian. Nadhan symbian ilikua moja ya os bora sana kwakounanikumbusha symbian, kulikuwa na app unaeka kelele za sokoni, au kelele za kituo cha treni/mabasi etc kama unataka kufake eneo ulipo.
jaribu hii app
Fancy Phone Call - IntCall - Android Apps on Google Play
pia jaribu hii
Spoof Call APK Download - Free Tools APP for Android | APKPure.com
yap bora kushinda os yoyote kwangu, zipo apps nyingi sana kwangu za symbian huzipati kwenye os za kisasa za leoChief sijawai ona unaongelea vibaya symbian. Nadhan symbian ilikua moja ya os bora sana kwako