Kwa huu wizi mtandaoni hatari

Kwa tukio lako ni uzembe wako mwenyewe au siku hiyo akili yako ilikua likizo.
 
Mbona kwangu hawathubutu [emoji51][emoji51] ila umeibiwa kizembe sana
 
Namb, vod, asbh, mm, kwann, ww, lkn, kidgo, tunaomb, nyingn, sh, tayar

Mkuu usilalamike, kwa uandishi huu ni haki yako kabisa kupigwa, unastahili baba wala hawajakosea [emoji23]
 
Huu wizi sio mpya ni wa zamani tena hata hiyo meseji inakuwa haijatoka mpesa ukiichunguza ni dummy meseji ambayo mtumaji kaicreate wala haina pesa hivyo kabla ya kukimbilia kuwatumia eti wamekosea ni vyema ukacheki salio lako kwanza kama limeongezeka au la hao ni matapeli since kitambo!
 
Ndio unajua leo?
 
Kuna jamaa nilipanda kosta yake palw segera kuja moro, sasa mmoja wa abiria akasema hana cash akaomba amtumie hela kwa simu, kweli bwana wakapeana namba yule abiria akamrushia, yule abiria akashuka chalinze, kufika mdaula jamaa mwenye kosta akaanza kulalamika kuwa yule jamaa aliyeshukia chalinze kajirudishia hela yake
 
Huo sio wizi mpya huo wiz wa zamani Sana miaka mitano iliyopita wizi Mpya sasa hivi inaonesha wewe utakufikia 2023 Yote ni Yote Pole Sana ila kabla ya kumtumia mtu hela jiridishe kwanza
 



Umeingia Mjini ukiwa Premature/Njiti.
Ulitakiwa uendelee kuwepo kijijini bado hadi fikra zako zikomae,
Wewe ukaamua ku-force kuja mjini, subiria, hilo ni trailer, picha laja.

Kama bado una wasi wasi, rudi kwanza kijijini hadi pale utakapo komaa kuja kuishi mjini.

Huo ndio Ushauri wangu.
 
Hiyo sms haitoki Voda Bali wana forward wao.ukiichunguza sana inakuwa na mapungufu mengi sana.kwanza lazima wakuulize una hela ngapi kwenye akauti yako? Najua uliwaambia una 20,000 ndio maana wakaku forward hiyo sms. Ungewaambia una million basi wange tuma laki Tisa na ushee
 
Walinijaribu kwa hiyo style wakadunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…