Kwa huu wizi mtandaoni hatari

Mtu wa kinondoni hapigwi kiboya
Kino ndko kiwandani Sasa

Ova
Acha uongo wewe juzi tu amepigwa naniii akakimbilia mawee alaf anajidai kama kapigwa na watu wawili wakati tumeona ni moko tu [emoji3]
 
Reactions: R.K
Unaishi wapi!? Wizi mpya how? Huko kwenu labda ndo mpya
Mkuu usishangae kuna maeneo bado hata simu za mkononi ndo zinaanza kutumika baada ya minara ya simu kuwekwa hivyo usikute mleta mada yuko huko matombo ndo kaja mjini kwenye mazishi akahamia jumla
 
. .Nilidhani niko peke yangu! Hao patapeli walinipigia na mimi lakini sikufikia huko kwa kuwatumia hela maana maswali niliyompiga nayo huyo dume wa kwanza yalikuwa yanatoka Ahera!
Jamaa alikuja na gia hiyo hiyo kwamba kuna binti amekosea kutuma hela kwenye namba yangu je nimeziona?
Nikamuuliza kuwa wewe si ndio upo jikoni huki unaona nini? Si mumrejeshee?
Jamaa alipoanza kujiumauma, nikacheki no yake nikakuta ni ya Halotel halafu anajifanya ni staff wa Vodacom!!
Akaishia kutishia kuwa no yangu ingefungiwa huduma ya Mpesa, nikamuambia akifanya hivyo ahakikishe kuwa ana Visa na Passport ya kwenda kuishi Mongolia maana hapa Bongo hataishi tena! Tukaishia hapo na sikuwasikia tena...!!
 
Ushamba Wa mitandao utawafanya mpigwe sana mjini...
Siku hizi pesa ikikosewa inarudishwa na voda wenyewe. Sasa wewe kiherehere cha kurudisha kimekuponza..
 
Kwa hasira tuma tena na wewe uwapigie uwatapeli hivyo hivyo
 


hiyoo ndo dawa yao
 
Wajinga ndio waliwao
 
Kama kuna anaye wafahamu hayo majamba wazi naomba basi muwape namba yangu nimemiss kutapeliwa
 
Hawa watu huwa wanashirikiana na customer care wa voda. Cha kwanza wanawatumia wajue unabalance kiasi gani.

Ila ulichotudanganya ni kuwa walikutumia 17000 alafu wakairudisha apo hapo. Hii kitu haiwezekani. Muamala baada ya kurudishwa, pesa hukaa hewani kwa muda hadi masaa 24. Voda watakupigia wewe kuconfirm kurudisha iyo pesa ndyo wananrudishia aliyrkosea kutuma.
 
Ila we test man ujue wewe ni expert member humu jukwaani jf kutapeliwa ki makamba hivyo unatuaibisha expert wenzako humu
 
Unaibiwa kirahisi hivyo?

Kama ni customer cares ungemwambia afanye yeye simple
 
acha uongo bana,muamala ukiisha urudisha unasoma Uturn huwezi ukaofanyia chochote hiyo pesa,kwanza kwako haionekani tena,siku hizi hiyo hiduma ipo,unaifanya mwenyewe uliyekosea si mpaka uwapigie voda.

ukiishaupa direction ya kurudi ulikotoka,ni mpaka zoezi likamilike ndio,utakuwa na nafasi ya kufanya kitu kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…