Kwa huu ufaulu nitapata chuo cha afya kweli?

Kwa huu ufaulu nitapata chuo cha afya kweli?

dnsHyr75

Member
Joined
Jun 13, 2019
Posts
60
Reaction score
19
kwa matokeo haya Phy C,Chem B, Bios D,Math C, Eng C
kwa vyuo hivi na kozi hizi:
Bugando- nursing diploma
kiomboi-nursing tech certificate
lugalo-clinical medicine diploma

msaada wako pliz,hapa nawaza🙆
 
Unaonaje ukienda A level?,au mziki wa Advance umeuogopa?,matokeo ya advance tena shule za serikali yanakuruhusu
 
Mkuu lugalo itoe utakosa nafasi kwa huo ufaulu

Mimi nakushauri chagua vyuo visivyokuwa na ushindani ili upate kwa urahisi na baadae ukitaka kuhamia chuo unachokitaka inakua rahisi
1.Songea clinical
2.Masasi
3.Sumbawanga
4.Kigoma
5.Mbeya
6.Maswa
kwa matokeo haya Phy C,Chem B, Bios D,Math C, Eng C
kwa vyuo hivi na kozi hizi:
Bugando- nursing diploma
kiomboi-nursing tech certificate
lugalo-clinical medicine diploma

msaada wako pliz,hapa nawaza[emoji134]
 
Mkuu lugalo itoe utakosa nafasi kwa huo ufaulu

Mimi nakushauri chagua vyuo visivyokuwa na ushindani ili upate kwa urahisi na baadae ukitaka kuhamia chuo unachokitaka inakua rahisi
1.Songea clinical
2.Masasi
3.Sumbawanga
4.Kigoma
5.Mbeya
6.Maswa
naweza kutoa lugalo peke yake!?
 
Na nikifuta machaguo nikachagua upya si itaonekana ndo nimeomba kwa kuchelewa wakati niliwahi sana mkuu?
 
Hapana selection hufanyika siku moja tu ndo maana wakaweka muda wa kuomba cha msingi usichague vyuo vyenye ushindani utajuta ukishakosa

asante sana mkuu nashukuru kulitambua hili mapema...nimefuata maelekezo yako asilimia 75 nimeyaunga mkono
 
lugalo kwa kweli nimeipiga chini na nimeongeza vyuo kadhaa vya kinyonge
 
Back
Top Bottom