Kwa hotuba hii ya Lissu, Prof. Kabudi ana mtego wa kuikana nafsi yake na maandishi ya taaluma yake

Wakuu nani anayo hotuba yote ya Prof. Palamagamba Kabudi ya jana? Nataka nione majibu yake kamili kuhusu rasimu ya katiba mpya.
 
Wanasiasa kama Tundu waache mtindo wa kutumia academic paper/work za watu kama reference ya kujenga hoja/kumu-attack mwenye hiyo academic work/thinking. Kwenye uwanja wa siasa watu ni wengi na wengi wao hawanaga uwezo wa kutofautisha academic work/thinking na real politics in real time.
 
Ebana Tundu Lissu Mungu akupe maisha marefu sana...
Nchi haijapata kuwa na mwanasheria mpuuzi kama Lissu. Lissu ananajisi taaluma yake ya sheria (hujiita learned brothers) anapishindwa kutumia lugha ya staha na kujipambanua kama mkrofi, majigambo, mlalamishi, na tabia ya kila aina ya ujeuri.

Hayo yaliyomo kwenye hotuba yake kuwakikisha Kambi ya Upinzani kuhusu Sheria na Katiba ni kichekesho kitupu. Nina uhakika hajui masuala ya
Sheria na Katiba.
 
Kwa muda mfupi aliokuwepo bungeni prof palagamba kabudi ameomesha uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kupangua hoja za upunzani

Sisi wa kambi rasmi ya upinzani Kurusu maswala ya sheria na katiba tulimtegemea zaid mh sana Tundu antipas Lissu kwa uwezo wake na uelewa wake wa sheria

Kwa kilichotokea wakati wa uwasilishwaji wa bajeti ya wizara ya sheria na katiba prof kabudi ameonesha kuwa na uwezo zaid ya mh Tundu Lissu mnadhim wa iambi ya upinzani

Richa ya mh kabudi kwenda kinyume na yale aliyotumanisha wakati wa mchakato wa katiba mpya kubwa katiba ya sasa ni mbovu na haifai Bali ameweza kuitetea leo na kujenga hoja kuwa inafaaa

Swali nini hatima ya upinzani bungeni???
Kwa Hiyo Proff Kabudi ameenda Bungeni kuongeza Nguvu ya kupambana na Lissu sio ?
 
Nchi haijapata kuwa na mwanasheria mpuuzi kama Lissu. Lissu ananajisi taaluma yake ya sheria (hujiita learned brothers) anapishindwa kutumia lugha ya staha na kujipambanua kama mkrofi, majigambo, mlalamishi, na tabia ya kila aina ya ujeuri.

Hayo yaliyomo kwenye hotuba yake kuwakikisha Kambi ya Upinzani kuhusu Sheria na Katiba ni kichekesho kitupu. Nina uhakika hajui masuala ya
Sheria na Katiba.

kakalishwa hapa na kabudi

Kuna mtu atuwekee majibu kamili ya Prof.Kabudi kuhusu swala la katiba mpya aliloulizwa na Lissu? Hiyo video inaiishia sehemu ya mwanzo tu ambapo ndipo anaanza kujibu swali hilo la katiba mpya.
 
Nchi haijapata kuwa na mwanasheria mpuuzi kama Lissu. Lissu ananajisi taaluma yake ya sheria (hujiita learned brothers) anapishindwa kutumia lugha ya staha na kujipambanua kama mkrofi, majigambo, mlalamishi, na tabia ya kila aina ya ujeuri.

Hayo yaliyomo kwenye hotuba yake kuwakikisha Kambi ya Upinzani kuhusu Sheria na Katiba ni kichekesho kitupu. Nina uhakika hajui masuala ya
Sheria na Katiba.
Una kiwango gani cha elimu, KKK ulifaulu vizuri kweli?
 
Una kiwango gani cha elimu, KKK ulifaulu vizuri kweli?
Unataka kujua kiwango changu cha elinu au hoja zangu! Taja kwanza kiwango chako cha elimu na ufaulu.

Kushindwa kujibu hoja na kuanza kuuliza kiwango cha elimu ya mtu, ni uthibitisho kwamba huna elimu
 
Cjajaribu aiseeh kama umemiskia lisu na kabudi utagundua lissu kafunikwa mno na mwalim wake

Jamaa alikuwa kama prof anafundisha wanafunz

Mm moinzani ila alichoongea kabudi n ukwel mtupu
h0ngera kwa kujua kup0st ujinga
 
Back
Top Bottom