Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,621
- 6,510
Ukiacha maswali juu ya usalama na ufanisi wa kuweka mradi wowote wa kijamii maeneo ya Jangwani, kumekuwa na mkanganyiko juu ya ni mradi gani hasa unajengwa maeneo hayo.
Juzi nimemsikia Samia anawahakikishia machinga kuwa mradi wa kuwajengea soko kubwa pale Jangwani uko pale pale.
Pia soma Rais Samia: Serikali kujenga Soko kubwa kama la Kariakoo eneo la Jangwani
Wakati huo huo, Yanga imeendelea na mauzauza yake ya kusema wanaenda kujenga uwanja mkubwa maeneo yale. Tena wamefikia hatua ya kutuambia wanaenda kujenga uwanja wenye hadhi ya kuchezewa hadi AFCON na fainali zingine za CAF!
Ni mimi pekee ninayeona tunadanganywa?