Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo?
Source: ITV
Huyu Mama jana nilimsikia alichoongea kweli nilishtuka sana. Nikabakia kumtamani nani hii
Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo?
Source: ITV
Nami nimemsikia na kusikitika sana. Inapasa kutoa kodi kisiasa/kijimbo manake serikali tuliyonayo inapeleka maendeleo kwenye majimbo yaliyochini ya ccm!! Madness..
Mama yako wewe, sisi hatuna mama fisadi.Wivu tuuu unawasumbua mwaacheni mama yetu!!
Igunga pia waliambiwa kuchagua kupiga magoti mbele ya altare ya CCM ili wajengewe daraja. Dr Magufuri ndiye aliyetangaza ahadi hiyo. Kweli CCM walishinda, lakini daraja hakuna mpaka tarehe ya leo. Mimi naona kuwa hawa jamaa maDr wa CCM wanatumiwa kutangaza uongo ili kuwatisha na hapohapo kuwatamanisha wananchi wawape kura CCM. Ukweli ni wazi CCM hawana nia ya kuleta maendeleo, CCM hawana uwezo wa kuleta maendeleo, CCM hawana njozi ya maendeleo, .. bali CCM sasa ni chama cha kifisadi f/stop.Hili mbona ni zuri tu - huyu mama ni honest; kawaambia watu ukweli na sasa watu wa Arumeru wanatakiwa wachague kupiga magoti mbele ya altare ya CCM au kukataa wakijua kabisa matokeo yake. Binafsi ningemshukuru huyu mama angalau kwa kuwaambia wananchi kuwa chaguo liko vipi; aidha waendelee kuwa watumwa kwa sababu watapewa masufuria ya minovu ya hapa na pale huko minyororo imewashika au watakataa kuitwa watuma na kuvunja minyororo yao.
Asante Nagu!