Kwa hili wanawake siwaelewi, nawashangaa and wanahitaji kupimwa akili!!

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,079
8,219
Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule mdada kwa kuamua kuishi na kile kibabu? Nashindwa kuwaelelewa madada! What wanagain kuwa na vibabu kama vile? Is it money or what? Me naichukulia hii ishu ya watoto wadogo kuolewa na vibabu kama sin flani ambayo yatakiwa kuwa amri ya11 ya mungu! Hivi mama mushumbuzi anagain nini kuwa na babu slaa!? They dont match hata kidogo! Bibiye yupo young,strong and energetic! But babu yetu slaa ni kwishnei! How do they balance kwenye mambo yetu??
 
mpendatz, ulishawahi kufikiria mushumbuzi alikosa nini huko alikokuwa mwanzo kabla hujafikiria ame-amegain nini kwa dr?&lt;br /&gt;<br />
watu wanaingia kwenye mahusiano kwa sababu mbalimbali ikiwemo za kiuchumi, kutafuta umaarufu, kiroho, mapenzi, opportunities na zingine nyingi. niliona mdada kaolewa na mtu mzima sana kwa sababu kila kijana aliyekuwa nae aliuumiza moyo wake vibaya sana. ur taste might be different from hers. let her live her life banaa, kupanga ni kuchagua!
 
yasiyokuhusu usiyafuatilie. Kila mtu ana chaguo lake kutokana na moyo wake. Siajabu kuna watu wanakushangaa unakuwaje na 'kidemu' kama ulicho nacho! Ninachotaka kusema kuwa heshimu maamuzi ya mtu na maisha binafsi ya mtu hayakuhusu.

Kuhusu hao wa mtaani ambao mnasaidiana kumshangaa binti wa watu na kibabu chake kumbuka 'those who gossips with you will gossip about you. . . 'j
 
umri wa huyo dada unamuita mdogo ni miaka mingapi maana wewe unaweza kuwa mzee pia na unamuona mdogo ila a,etaka kuolewa kwa uamuzi wake mengine yanakuhusu nini?

yatakushinda kwi kwi kwi

kaka babu billionea basi nae kawa bilionea
 
Kijana naona huna mpya au huna kazi yakufanya wewe na hao wenzio mitaaani kazi kujadili ya watu,Slaa na Mushumbusi wanakukera nini wewe raha zao?raha wapate wao wewe ukereke kwanza hata hawafahamu kama kuna mtu anakerwa na mapenzi yao au unamtaka wewe huyo Mushumbusi manake Slaa hafai kuanae? huyo mwengine wa barabarani huyo babu ulomuona wewe katika fikira zako hawezi majamboz? basi anaweza kua mtanashati kuliko hata wewe wacha donge,ww pia ukimpata Jimama mwenyenazo humkatai sasa kama ww unaona soo wenzio wanaona sawa2 kazi kwako wewe mnoko.
 
Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule mdada kwa kuamua kuishi na kile kibabu? Nashindwa kuwaelelewa madada! What wanagain kuwa na vibabu kama vile? Is it money or what? Me naichukulia hii ishu ya watoto wadogo kuolewa na vibabu kama sin flani ambayo yatakiwa kuwa amri ya11 ya mungu! Hivi mama mushumbuzi anagain nini kuwa na babu slaa!? They dont match hata kidogo! Bibiye yupo young,strong and energetic! But babu yetu slaa ni kwishnei! How do they balance kwenye mambo yetu??

Mi nimeona hapo tu kwenye red.

But nani kakwambia ndoa ni 6 kwa 6 tu??..........vijana kubalini Babu kawazidi kete!
 
Hao wazee wanatafutaga lawama tu kwa vijana, utakuta mechi zenyewe mbinde na wakitia timu ni bao moja tu. Vijana wanajibebea kiulaini kabisa.
 
Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule mdada kwa kuamua kuishi na kile kibabu? Nashindwa kuwaelelewa madada! What wanagain kuwa na vibabu kama vile? Is it money or what? Me naichukulia hii ishu ya watoto wadogo kuolewa na vibabu kama sin flani ambayo yatakiwa kuwa amri ya11 ya mungu! Hivi mama mushumbuzi anagain nini kuwa na babu slaa!? They dont match hata kidogo! Bibiye yupo young,strong and energetic! But babu yetu slaa ni kwishnei! How do they balance kwenye mambo yetu??
<br />
<br />
Mwisho utaanza kumfatilia hata mama yako nyendo zake,maana huna kazi nyingine ni hiyo tu ya kuchunguza maisha ya watu.
 
Mwanaume mmbea ni janga la kitaifa... Sheria za huko uliko 'watoto wadogo' wanaishia umri gani?! Kama baba yako ni kwishney usifikiri ni kila 'mbabu' anakuwa kwishney... Inaonyesha uko kwenye dunia ya peke yako ndo maana hata 'mungu' wako unamwandika kwa herufi ndogo kuonyesha ni mzimu na 'Bibiye' kwa herufi kubwa!! Punguza umbea haukufai...
 
Si amejifungua juzi tu?
Sasa unataka uthibitisho upi mwingine kuwa anayaweza???????????
 
mapenzi yana run duniaaaaa............aliyesema mapenzi ya age mates ndio yanadumu nani???waache kama wamependana waishi maisha yao...wewe tafuta wa age mate wako na wewe uishi kivyako....different strokes for different folks......
 
mpendatz, ulishawahi kufikiria mushumbuzi alikosa nini huko alikokuwa mwanzo kabla hujafikiria ame-amegain nini kwa dr?<br />
watu wanaingia kwenye mahusiano kwa sababu mbalimbali ikiwemo za kiuchumi, kutafuta umaarufu, kiroho, mapenzi, opportunities na zingine nyingi. niliona mdada kaolewa na mtu mzima sana kwa sababu kila kijana aliyekuwa nae aliuumiza moyo wake vibaya sana. ur taste might be different from hers. let her live her life banaa, kupanga ni kuchagua!
Mkubwa naomba unifafanulie hicho ipengele cha kiroho plz
 
Back
Top Bottom