Kwa hili wanawake siwaelewi, nawashangaa and wanahitaji kupimwa akili!!

Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule mdada kwa kuamua kuishi na kile kibabu? Nashindwa kuwaelelewa madada! What wanagain kuwa na vibabu kama vile? Is it money or what? Me naichukulia hii ishu ya watoto wadogo kuolewa na vibabu kama sin flani ambayo yatakiwa kuwa amri ya11 ya mungu! Hivi mama mushumbuzi anagain nini kuwa na babu slaa!? They dont match hata kidogo! Bibiye yupo young,strong and energetic! But babu yetu slaa ni kwishnei! How do they balance kwenye mambo yetu??

naitaji kukupima akili

wanaume vilaza,wambea na wavivu wa kufikiri km nyinyi ndo mnaosababisha giza tz.
 
Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule mdada kwa kuamua kuishi na kile kibabu? Nashindwa kuwaelelewa madada! What wanagain kuwa na vibabu kama vile? Is it money or what? Me naichukulia hii ishu ya watoto wadogo kuolewa na vibabu kama sin flani ambayo yatakiwa kuwa amri ya11 ya mungu! Hivi mama mushumbuzi anagain nini kuwa na babu slaa!? They dont match hata kidogo! Bibiye yupo young,strong and energetic! But babu yetu slaa ni kwishnei! How do they balance kwenye mambo yetu??
<br />
<br />
werevu hujadili future, wapumbavu hujadili mambo ya watu
 
una mjua TUPAC? anasema dont judge me ,if dont knw me,, huu msemo una maana nyingi ,, wazee kama hao balaa, wana mapenzi wanajua kubembeleza ,, hao wanajua kila kitu ,, wajanja , watundu, ,, sisi wazanzibari tunasema kindana usicho kilalia hukijui kunguni wake? kuna mambo huwezi kujua kama kujayaona ,au huja kaa karibu nayo .nadhani inatosha hapo
 
kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule mdada kwa kuamua kuishi na kile kibabu? Nashindwa kuwaelelewa madada! What wanagain kuwa na vibabu kama vile? Is it money or what? Me naichukulia hii ishu ya watoto wadogo kuolewa na vibabu kama sin flani ambayo yatakiwa kuwa amri ya11 ya mungu! Hivi mama mushumbuzi anagain nini kuwa na babu slaa!? They dont match hata kidogo! Bibiye yupo young,strong and energetic! But babu yetu slaa ni kwishnei! How do they balance kwenye mambo yetu??

kipendacho rohoo..we ulitaka aje kwako?
 
Hivi umeoa au kuolewa???
Ulishawahi kuwa na uhusiano na watu wa umri gani labda compare na wako?
Unavyoshangaa ya wenzio na wao wanashangaa yako.
Raha anijua yule binti,naomba umfate ukamuulize utuletee majibu.
 
ah aaahhhh!! sasa sie tutajuaje. nakushauri umuulize huyo bint alifuata nin?
 
Kushnehi slaa nani kakwambia? Ona kajipinda katoa dume,unafikiri kuzaa mtoto wa kiume ni mchezo kijana?inaonesha Slaa ni dume la mbegu bwana
Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule mdada kwa kuamua kuishi na kile kibabu? Nashindwa kuwaelelewa madada! What wanagain kuwa na vibabu kama vile? Is it money or what? Me naichukulia hii ishu ya watoto wadogo kuolewa na vibabu kama sin flani ambayo yatakiwa kuwa amri ya11 ya mungu! Hivi mama mushumbuzi anagain nini kuwa na babu slaa!? They dont match hata kidogo! Bibiye yupo young,strong and energetic! But babu yetu slaa ni kwishnei! How do they balance kwenye mambo yetu??
<br />
<br />
 
Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule mdada kwa kuamua kuishi na kile kibabu? Nashindwa kuwaelelewa madada! What wanagain kuwa na vibabu kama vile? Is it money or what? Me naichukulia hii ishu ya watoto wadogo kuolewa na vibabu kama sin flani ambayo yatakiwa kuwa amri ya11 ya mungu! Hivi mama mushumbuzi anagain nini kuwa na babu slaa!? They dont match hata kidogo! Bibiye yupo young,strong and energetic! But babu yetu slaa ni kwishnei! How do they balance kwenye mambo yetu??

Vigezo ulivyotumia ni vyako ..lakini kumbuka hata wao wana vigezo vyao.. sio lazima wafuate vigezo vyako! kikubwa tu kama wanaheshimu mamlaka ya duniani yaani sheria (over 18 years)..kwani hata Mungu ametuambia tuheshimu mamlaka ya duniani.

Zaidi ya hapo..waache na vigezo vyao ..iwe hela, mapenzi etc..wanajua wao na sisi tusiwaingilie..
 
Back
Top Bottom