Hizo ni kazi za idara wala sio waziri au taasisi za kiraisi amejishusha. Hakujifunza kwa Magufuli, sababu hange fanya huo mchezo.Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
umeongea kwa uchungu sana aiseeee...huu ni ukweli mchunguRais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Tatizo lenu mnalinganisha ukuu wa America na Tanzania. Chato haiwez linganishwa na DAR!! Biden akienda popote lazima mkuu wa NCHI husika awepo no way, but kwa vinchi vichanga kama sisi is not necessary!!Kwa hiyo Biden anaweza kuja Tz akakutana na Mhe. Phillip Mpango...kisha na wamarekani waishio nchini ikawa imeisha???
Hata Diomond ange weza kumtuma aende kufanya hiyo kazi.Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Ni kipi hiko?Kikubwa alichokiendea kimefanikiwa.
Naona uchawa siku hizi unalipa, maana kila mtu anaupigania kama tunavyoona kwa mleta madaRais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Samia ameenda kule kwa shughuli za kitamaduni (Uzinduzi wa filamu)Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Tanzania haina political stability kama Kenya ndio maana unaona Uhuru Kenyatta alipokelewa na Biden wakati mama alipokewa na diaspora!
PUMBANi hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?
Bado Kuna uchafu wa siasa za Magufuli alizozifanya haujaondolewa kwenye taswira ya nchi kimataifa
Nchi bado inanuka
Huwa dhambi inaondolewa kwa Toba haitoki yenyewe
Asanteni.
Hizo ndio shughuli za kiserikali za kitanzaniaSamia ameenda kule kwa shughuli za kitamaduni (Uzinduzi wa filamu)