musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 588
- 905
ExactlyTanzania haina political stability kama Kenya ndio maana unaona Uhuru Kenyatta alipokelewa na Biden wakati mama alipokewa na diaspora!
Halafu sisi hata viongozi wao wastaafu wakija...viongozi wakuu hu hairisha kila kitu na kuwajali waoWiki? Ni wiki mbili
Ni hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?Hiyo sio ziara rasmi
Kwa hiyo Biden anaweza kuja Tz akakutana na Mhe. Phillip Mpango...kisha na wamarekani waishio nchini ikawa imeisha???Hiyo sio ziara rasmi
Unaelewa maana ya ziara rasmi?Kwa hiyo Biden anaweza kuja Tz akakutana na Mhe. Phillip Mpango...kisha na wamarekani waishio nchini ikawa imeisha???
Kasome maana Official State visitNi hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?
Bado Kuna uchafu wa siasa za Magufuli alizozifanya haujaondolewa kwenye taswira ya nchi kimataifa
Nchi bado inanuka
Huwa dhambi inaondolewa kwa Toba haitoki yenyewe
Asanteni.
Acha kutetea dhambi ya umwagaji damu!Unaelewa maana ya ziara rasmi?
Siri ya mtungi aijua kataRais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Aliondoka April 13 hadi leo ni wiki ya pili.Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Kijana una uelewa mdogo sana. Mama kaenda kwa sababu gani? Kaenda kiserikali au kibinafsi? Kaalikwa au kajiendea tu? Unataka mtu aache kazi zake sababu ya mgeni ambaye hana taarifa nae wala mazungumzo nae?Halafu sisi hata viongozi wao wastaafubwakija...viongozi wakuu hu hairisha kila kitu na kuwajali wao
Hii ni dharau ya kiwango cha lami
Kwa mfano Bideni akija Tanzania kupumzika Serengeti ana weza hasikutane na Mama Samia ?Aliondoka April 13 hadi leo ni wiki ya pili.
Watu weupe Wana tudharau Sana wanasema hatuna akili lakini tuna maliasiliRais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Bhahahahaa, sasa si wanajua hamna akili? Mlikuwa na Rais mzuri mkajifanya wajuaji. Sasa mtadharaulika mpaka na vi nchi vya Afrika.Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)