Kwa hili, tIGO mtatukosa wengi

Kwa hili, tIGO mtatukosa wengi

Ndugu tigo kama unaugonjwa wa moyo ni bora uhame.wanaweza kukuua hawa hata njiani kwa mshtuko.me nlikua ma salio la 50000 juzi tu nikajiunga kifurushi cha 3500,aisee within a hour nashangaa kuchek salio nina sms na dk tu.mb zmeisha.nikaenda kwa salio la kawaida kidogo nitoe ushuzi!!yaan imebakitsh50!! aisee tigo ni majambaz na maharamia

Siwekagi zaidi ya 3500 ya kujiungia mini kabang. Tena jumapili kwa jumapili
 
Mimi ni mwezi wa tatu hhuu nimeacha kutumia simu ya kiganjani. ukinikosa kwenye namba ya landline oficini nitafute bar Buguruni. Sina hofu ya kuibiwa simu wala sina gharama za vocha wala sitegemei kupata taarifa za kunipa presha wala siambiwi tafadhali nipigie yaani hadi raha.
 
Back
Top Bottom