Kwa hili, tIGO mtatukosa wengi

Kwa hili, tIGO mtatukosa wengi

Ni mteja wa kampuni hiyo tangu inaitwa Mobitel, Buzz na sasa tIGO,
jambo baya sana wamekuwa wakikurupuka kuanzisha huduma ambazo kiukweli zimekuwa zinabore sana maana nyingi ni za kukatisha tamaa.

nimekuwa nikijiunga min KABANG masaa 24 kwa TZS 999 kila siku ambapo napata dakika 35 za kupiga mitandao yote,
Leo ghafla naona wamekurupuka kwenye menu nakutana na uchafu mwingine ambao hata siuelewi na jwa kifupi unani sababisha nisigine line ya kampuni hii na kuendelea na line ya mtandao mwingine kwa sababu ya kuhangaika kwenu na mabadiliko ambayo nadhani hamna hata wiki 2 tangu mbadilishe hiyo menu yenu sijui wenyewe mnaiita Tigo shop.

kwa kweli kwa aina hii ya biashara mnayoifanya ni bora kutemana na nyinyi mazima maana mnahangaika mtadhani kuku anataka kutaga, kama biashara imewashinda uzeni kampuni tushazoe kubadilishiwa majina ya hizo kampuni zenu zilizojaa unyonyajimkwa watanzani.

Ushauri kwenu rudisheni ile menu ya awali, msiruke ruke kabla ya kuambiwa muanze kulipa kodi.
zembeeni mnachishauriwa muue Kampuni mshindwe kupata hata hiyo sh. mia mnayopata sasa.

cc: TCRA
mimi nijuavyo tsh 999 ni 25dk mitandao yote.huwa najiunga na kifurushi hicho siku zote
 
majanga tena haya! tiGO wanashughulikia tatizo la kiufundi la M-PESA,
huo ni zaidi ya upendo,
Mkuu usishangae ,Ukizoea uzushi na uongo hayo ndio matokeo yake ,unaanza kuongelea mwembe uzaao ndizi!
 
Mi tigo wananiboa sana lakini huwa kuhama siwezi, nitaishia kulalamika weeee mwisho wa siku nimeng'ang'ana pale pale sijui kwanini,....
Kuwa mzalendo na mwenye upendo wa kweli....usihame hata kidogo, mm na tiGO daima toka enzi hzooooo.....
 
Ni mteja wa kampuni hiyo tangu inaitwa Mobitel, Buzz na sasa tIGO,
jambo baya sana wamekuwa wakikurupuka kuanzisha huduma ambazo kiukweli zimekuwa zinabore sana maana nyingi ni za kukatisha tamaa.

nimekuwa nikijiunga min KABANG masaa 24 kwa TZS 999 kila siku ambapo napata dakika 35 za kupiga mitandao yote,
Leo ghafla naona wamekurupuka kwenye menu nakutana na uchafu mwingine ambao hata siuelewi na jwa kifupi unani sababisha nisigine line ya kampuni hii na kuendelea na line ya mtandao mwingine kwa sababu ya kuhangaika kwenu na mabadiliko ambayo nadhani hamna hata wiki 2 tangu mbadilishe hiyo menu yenu sijui wenyewe mnaiita Tigo shop.

kwa kweli kwa aina hii ya biashara mnayoifanya ni bora kutemana na nyinyi mazima maana mnahangaika mtadhani kuku anataka kutaga, kama biashara imewashinda uzeni kampuni tushazoe kubadilishiwa majina ya hizo kampuni zenu zilizojaa unyonyajimkwa watanzani.

Ushauri kwenu rudisheni ile menu ya awali, msiruke ruke kabla ya kuambiwa muanze kulipa kodi.
zembeeni mnachishauriwa muue Kampuni mshindwe kupata hata hiyo sh. mia mnayopata sasa.

cc: TCRA

mi kutoa tu huduma ya kukopa utanifanya niwahame
 
Last edited by a moderator:
Yaani hawa tiGo wamekuwa wezi sana mb zinakwisha kama chaji! Mwanzoni kifurushi cha wiki ambacho zamani ilikuwa 3500 zilikuwa zinamaliza wiki sasa hivi siku tatu mb kwisha. Naona wameamua kutuumiza kwenye mb.
 
kweli Kabisa kakangu hii ni hatari,tigo imeniloga
Kuna ukweli aisee maana kuna wateja wa tigo hata ufanye nini haondoki, of course kwa yule ambae yupo town especially Dar muda mrefu inakuwa ngumu lakini sie ambao mara leo upo Zuguulole Tabora, Kesho Usokami Iringa tunakua tunacheza kotekote ataeleta huduma nzuri unakomaa nae though unakuwa na mtandao wako mmoja ambao ni hotline
 
Ni mteja wa kampuni hiyo tangu inaitwa Mobitel, Buzz na sasa tIGO,
jambo baya sana wamekuwa wakikurupuka kuanzisha huduma ambazo kiukweli zimekuwa zinabore sana maana nyingi ni za kukatisha tamaa.

nimekuwa nikijiunga min KABANG masaa 24 kwa TZS 999 kila siku ambapo napata dakika 35 za kupiga mitandao yote,
Leo ghafla naona wamekurupuka kwenye menu nakutana na uchafu mwingine ambao hata siuelewi na jwa kifupi unani sababisha nisigine line ya kampuni hii na kuendelea na line ya mtandao mwingine kwa sababu ya kuhangaika kwenu na mabadiliko ambayo nadhani hamna hata wiki 2 tangu mbadilishe hiyo menu yenu sijui wenyewe mnaiita Tigo shop.

kwa kweli kwa aina hii ya biashara mnayoifanya ni bora kutemana na nyinyi mazima maana mnahangaika mtadhani kuku anataka kutaga, kama biashara imewashinda uzeni kampuni tushazoe kubadilishiwa majina ya hizo kampuni zenu zilizojaa unyonyajimkwa watanzani.

Ushauri kwenu rudisheni ile menu ya awali, msiruke ruke kabla ya kuambiwa muanze kulipa kodi.
zembeeni mnachishauriwa muue Kampuni mshindwe kupata hata hiyo sh. mia mnayopata sasa.

cc: TCRA
Jana ilikuwa tatizo even kwangu maana huwa wana ASUBUHI PARK kwa jana kuingia nikakuta wameiondoa maana hata mie huwa najiunga kwa shs.1 napata dakika zangu 30 mwisho saa 3 asubuhi huwa nazitumia kusambaza upendo kwa sakafu wangu wa moyo alafu naachana nayo naendelea na voda yangu. Jana naicheck menu sikukuta kitu nikaumbuka maana simu yangu ina shilingi 30 tu kuzimaliza hizo ni mwezi mzima maana kila siku only 1TZS kiukweli nilishituka. Ila leo naona wamejifunza kitu wamerejesha huduma
 
Mimi nilikuwa nanunua bandle ya mwezi kwa tsh.15,000: dakika 300 za maongezi, sms 800 na 1024Mb. Sasa kwa pesa hiyo dakika 250, sms 800 na 600Mb. Nimeshahama.
 
Mkuu usishangae ,Ukizoea uzushi na uongo hayo ndio matokeo yake ,unaanza kuongelea mwembe uzaao ndizi!

Mkuu anagusia tatizo la Voda, Juzi na jana nilipata hilo Tatizo na M-PESA... Unakua huwezi kupata huduma yoyote ya M-PESA, Usiombe uwe na uharaka!!
 
Jana ilikuwa tatizo even kwangu maana huwa wana ASUBUHI PARK kwa jana kuingia nikakuta wameiondoa maana hata mie huwa najiunga kwa shs.1 napata dakika zangu 30 mwisho saa 3 asubuhi huwa nazitumia kusambaza upendo kwa sakafu wangu wa moyo alafu naachana nayo naendelea na voda yangu. Jana naicheck menu sikukuta kitu nikaumbuka maana simu yangu ina shilingi 30 tu kuzimaliza hizo ni mwezi mzima maana kila siku only 1TZS kiukweli nilishituka. Ila leo naona wamejifunza kitu wamerejesha huduma

Ni kweli mkuu nimeona mabadikiko leo pia,
obvious wameisoma kimya kimya na kuamua kurudi fasta katika utaratibu wa zamani.
JF inasaidia mengi.
 
View Profile: TCRA
User Name: TCRA
User Title: Member
Last Activity: 6th September 2013 09:18
 
baki hukohuko ndg, Voda m pesa ni majanga.
 
Mimi nilikuwa najiunga mini kabang ya week ya 3500 wanakupa dk 75 za kuongea, MB 500 na sms 2000

Sasa hivi wamepunguza kuja dk 65 za kuongea, MB 300 na sms 2000. Na shida yangu kubwa ni hizo MB 500 kipindi kile zilikuwa zinakaa week nzima ila hizo Mb 300 hazipiti alhamisi

Nikawapigia kuwauliza wakasema kwasababu najiunga sana ndo mana wamepunguza

Zaidi wakasema kama sifurahii huduma zao nihamie ninapoona pananifaa

Sahv nipo SMART mambo mteremkoo, kitu satelite sio maswala ya minara tena

Tigo wamekuwa na ghrama sana sio ya wanafunzi tena

Ndugu tigo kama unaugonjwa wa moyo ni bora uhame.wanaweza kukuua hawa hata njiani kwa mshtuko.me nlikua ma salio la 50000 juzi tu nikajiunga kifurushi cha 3500,aisee within a hour nashangaa kuchek salio nina sms na dk tu.mb zmeisha.nikaenda kwa salio la kawaida kidogo nitoe ushuzi!!yaan imebakitsh50!! aisee tigo ni majambaz na maharamia
 
Bora ungetoa ushuzi tu mkuu labda hao 0712 wangekuelewa
 
Back
Top Bottom