Kwa hili, tIGO mtatukosa wengi

Kwa hili, tIGO mtatukosa wengi

Twilumba

Platinum Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
13,472
Reaction score
16,177
Ni mteja wa kampuni hiyo tangu inaitwa Mobitel, Buzz na sasa tIGO,
jambo baya sana wamekuwa wakikurupuka kuanzisha huduma ambazo kiukweli zimekuwa zinabore sana maana nyingi ni za kukatisha tamaa.

nimekuwa nikijiunga min KABANG masaa 24 kwa TZS 999 kila siku ambapo napata dakika 35 za kupiga mitandao yote,
Leo ghafla naona wamekurupuka kwenye menu nakutana na uchafu mwingine ambao hata siuelewi na jwa kifupi unani sababisha nisigine line ya kampuni hii na kuendelea na line ya mtandao mwingine kwa sababu ya kuhangaika kwenu na mabadiliko ambayo nadhani hamna hata wiki 2 tangu mbadilishe hiyo menu yenu sijui wenyewe mnaiita Tigo shop.

kwa kweli kwa aina hii ya biashara mnayoifanya ni bora kutemana na nyinyi mazima maana mnahangaika mtadhani kuku anataka kutaga, kama biashara imewashinda uzeni kampuni tushazoe kubadilishiwa majina ya hizo kampuni zenu zilizojaa unyonyajimkwa watanzani.

Ushauri kwenu rudisheni ile menu ya awali, msiruke ruke kabla ya kuambiwa muanze kulipa kodi.
zembeeni mnachishauriwa muue Kampuni mshindwe kupata hata hiyo sh. mia mnayopata sasa.

cc: TCRA
 
Last edited by a moderator:
Ndugu mteja, tunashughulikia tatizo la kiufundi kwenye huduma ya M-Pesa na tunakuhakikishia pesa zako ziko salama.Tutakujulisha mara tu huduma itakaporejea.
 
MINS ZA KUONGEA NA MITANDAO MINGINE WAMEZi BANA MNO NI SHIDA SANA

Kwa kweli dawa yao ni moja tu kuwapiga chini bora hata kuhamia basi lile kubwa....nimeuliza nasikia huko ni nafuu kigodo ati.
 
Ndugu mteja, tunashughulikia tatizo la kiufundi kwenye huduma ya M-Pesa na tunakuhakikishia pesa zako ziko salama.Tutakujulisha mara tu huduma itakaporejea.

majanga tena haya! tiGO wanashughulikia tatizo la kiufundi la M-PESA,
huo ni zaidi ya upendo,
 
Mimi nilikuwa najiunga mini kabang ya week ya 3500 wanakupa dk 75 za kuongea, MB 500 na sms 2000

Sasa hivi wamepunguza kuja dk 65 za kuongea, MB 300 na sms 2000. Na shida yangu kubwa ni hizo MB 500 kipindi kile zilikuwa zinakaa week nzima ila hizo Mb 300 hazipiti alhamisi

Nikawapigia kuwauliza wakasema kwasababu najiunga sana ndo mana wamepunguza

Zaidi wakasema kama sifurahii huduma zao nihamie ninapoona pananifaa

Sahv nipo SMART mambo mteremkoo, kitu satelite sio maswala ya minara tena

Tigo wamekuwa na ghrama sana sio ya wanafunzi tena
 
Mi tigo wananiboa sana lakini huwa kuhama siwezi, nitaishia kulalamika weeee mwisho wa siku nimeng'ang'ana pale pale sijui kwanini,....
 
Tgo nahic ndo man wale wanaotoa hudum za mchezo mchafu wakatumia hlo jina.con tofaut ya vitendo vyao na hao wanaoliwa......
Ni mtazamo tu Md.......
 
Labda wafute kabisa na mtandao wenyewe wa tigo ndio ntaama la sivyo hii itakuwa "tigo niuwe".
 
Mimi nilikuwa najiunga mini kabang ya week ya 3500 wanakupa dk 75 za kuongea, MB 500 na sms 2000

Sasa hivi wamepunguza kuja dk 65 za kuongea, MB 300 na sms 2000. Na shida yangu kubwa ni hizo MB 500 kipindi kile zilikuwa zinakaa week nzima ila hizo Mb 300 hazipiti alhamisi

Nikawapigia kuwauliza wakasema kwasababu najiunga sana ndo mana wamepunguza

Zaidi wakasema kama sifurahii huduma zao nihamie ninapoona pananifaa

Sahv nipo SMART mambo mteremkoo, kitu satelite sio maswala ya minara tena

Tigo wamekuwa na ghrama sana sio ya wanafunzi tena

Hapo kwenye SMART nifafanulie huwa najiunga bila kujua inapitia wapi
 
Mimi nilikuwa najiunga mini kabang ya week ya 3500 wanakupa dk 75 za kuongea, MB 500 na sms 2000

Sasa hivi wamepunguza kuja dk 65 za kuongea, MB 300 na sms 2000. Na shida yangu kubwa ni hizo MB 500 kipindi kile zilikuwa zinakaa week nzima ila hizo Mb 300 hazipiti alhamisi

Nikawapigia kuwauliza wakasema kwasababu najiunga sana ndo mana wamepunguza

Zaidi wakasema kama sifurahii huduma zao nihamie ninapoona pananifaa

Sahv nipo SMART mambo mteremkoo, kitu satelite sio maswala ya minara tena

Tigo wamekuwa na ghrama sana sio ya wanafunzi tena
Mkuu hebu nambie huko SMART kupoje gharama zao zimekaaje,Network yao vipi ipo vema? Na speed ya net ipo vip kama namna gani nihamie zangu huko tu ntulie
 
Kila kitu kipo smart
 
Back
Top Bottom