Kwa Hili TECNO Mnastahili PONGEZI

Kwa Hili TECNO Mnastahili PONGEZI

Naipuli

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
266
Reaction score
110
Ndugu wanajamvi,
Nimeona ninene la kwangu kuhusiana na kampuni ya Simu TECNO.
Nimekuwa mtumiaji wa simu za Tecno kwa muda mrefu na hasa kwa hizi Smartphones tangu N3, P3 ........!
Lakini katika matoleo yote nilowahi kutumia leo naomba niwapongeze hadharani kwamba TECNO L6 wameitendea haki kwa suala zima la charge.
Tecno L6 ina uwezo wa kukaa na charge kwa muda mrefu ukilinganisha na matoleo mengine.
Hongera sana TECNO, hongera TECNO L6.
 
Attachments

  • 1434725980290.jpg
    1434725980290.jpg
    23.6 KB · Views: 1,454
  • 1434726035880.jpg
    1434726035880.jpg
    28.4 KB · Views: 1,272
  • 1434726075698.jpg
    1434726075698.jpg
    26.5 KB · Views: 1,225
  • 1434726103859.jpg
    1434726103859.jpg
    26.3 KB · Views: 1,574
Sema huna hela ya kununua simu nzuri. Tecno mi lowa end phone.
Zimetengenezwa na waliozitengeneza hawazitumii
 
Mimi ninaamini kwamba kila mmoja ananunua simu kulingana na vipaumbele alivyonavyo, na mimi miongoni mwa vipaumbele vyangu ni pamoja na CHARGE.
Suala la kutokuwa na hela na mambo mengine kwangu haikuwa hoja ya msingi sana.
Kwani unadhani nikinunua simu ya laki 7 au 1M na inakaa na charge masaa 4 - 6 itakuwa na faida gani kwangu?
 
Simu yenyewe haitumiki afu waja isifia hapa. Kama umelipwa pole sana mkuu umekosea jinsi ya kujitangaza.
 
weakness za tecno ni chipset zilizotumika ambazo ni low price chips. MEDIATEK.

kutokana na hilo basi simu zote zenye mtk si bora na hazifai kuwekwa katika makundi ya simu? To be honest

VIWA
HUAWEI za mtk
OBI
STARTIMES
GIONEE
ACER za mtk
X-BO
ITEL
VODAFONE
HISENSE

na zinginezo....

zipo simu za tecno zinazo deserve sifa na pia zipo za ovyo
 
daah kwl kaka techno kw chaji ipo vzr cna hata uimara cn hamu na huawei ilivokufa .nw ni techno tuu
 
Ndugu wanajamvi,
Nimeona ninene la kwangu kuhusiana na kampuni ya Simu TECNO.
Nimekuwa mtumiaji wa simu za Tecno kwa muda mrefu na hasa kwa hizi Smartphones tangu N3, P3 ........!
Lakini katika matoleo yote nilowahi kutumia leo naomba niwapongeze hadharani kwamba TECNO L6 wameitendea haki kwa suala zima la charge.
Tecno L6 ina uwezo wa kukaa na charge kwa muda mrefu ukilinganisha na matoleo mengine.
Hongera sana TECNO, hongera TECNO L6.

inauzwa bei gani mkuu? achana na hao wapumbavu wanaoishi na mama zao ndo maana wana maneno ya mipasho mipasho
 
kuna tecno na tecno. sisemi kwamba tecno ni high end device na sijasema kwamba ipo juu kuliko samsung htc microsoft or whatever..

mtu aliyetumia tecno N3 peke yake hawezi kujua kuhusu PHANTOM..

baadhi ya simu nzuri za tecno

L6
PHANTOM A
PHANTOM Z
Z MINI
L7
R7
R5
F5

na zinginezo. Zile zilizokuwa za kawaida sana ni L3,M3, P5,P3.....
 
Tecno ni simu inayouzwa kwa wingi wale wapenzi wa nokia wengi wamehamia tecno.
 
weakness za tecno ni chipset zilizotumika ambazo ni low price chips. MEDIATEK.

kutokana na hilo basi simu zote zenye mtk si bora na hazifai kuwekwa katika makundi ya simu? To be honest

VIWA
HUAWEI za mtk
OBI
STARTIMES
GIONEE
ACER za mtk
X-BO
ITEL
VODAFONE
HISENSE

na zinginezo....

zipo simu za tecno zinazo deserve sifa na pia zipo za ovyo

Mkuu watu wengi hawana habari ya mtk wala mediatek wanachoulizia bei je? ina whatupp fb na inakaa na chaji muda. gani
 
Sema huna hela ya kununua simu nzuri. Tecno mi lowa end phone.
Zimetengenezwa na waliozitengeneza hawazitumii

Haitoshi kuziponda hizi cm za tacno, ungeenda mbele zaidi kuainisha mapungufu vyake. yeye ameziona nzuri kwa kigezo cha chaji je wewe umezionz mbzya kwa kigezo gani?.
 
weakness za tecno ni chipset zilizotumika ambazo ni low price chips. MEDIATEK.

kutokana na hilo basi simu zote zenye mtk si bora na hazifai kuwekwa katika makundi ya simu? To be honest

VIWA
HUAWEI za mtk
OBI
STARTIMES
GIONEE
ACER za mtk
X-BO
ITEL
VODAFONE
HISENSE

na zinginezo....

zipo simu za tecno zinazo deserve sifa na pia zipo za ovyo

Naomba fafanua hiyo mediatek nini nini? na mbadala yakeckwa ubora ni nini?
 
Haitoshi kuziponda hizi cm tacno, ungeenda mbele zaidi kuainisha mapungufu vyake. yeye ameziona nzuri kwa kigezo cha chaji je wewe umezionz mbzya kwa kigezo gani?.
Hapo ktk red. Hiyo ni simu gani mkuu?
 
kuna tecno na tecno. sisemi kwamba tecno ni high end device na sijasema kwamba ipo juu kuliko samsung htc microsoft or whatever..

mtu aliyetumia tecno N3 peke yake hawezi kujua kuhusu PHANTOM..

baadhi ya simu nzuri za tecno

L6
PHANTOM A
PHANTOM Z
Z MINI
L7
R7
R5
F5

na zinginezo. Zile zilizokuwa za kawaida sana ni L3,M3, P5,P3.....

umeisahau H6 mkuu. ni bonge la simu.
 
Hizi thread zilisha pitwa na wakati, hoja ya msingi ni ishu ya chaj.
Ndio hoja ya mtoa mada, wewe mwenye simu ya laki tano nakuendelea tena umenunuliwa, hukuitolea jasho lazima uje hapa ubwateeee bila sababu za msingi.
Ninatumua tecno H7 tangu mwaka jana mwezi octoba. Sijaona tatizo lolote la hizi simu na kabla ya hapo nilikuwa natumia N3,M3,P5 ndio nikanunua H7 sababu ya spec... Zake na hasa RAM.
 
Ndugu wanajamvi,
Nimeona ninene la kwangu kuhusiana na kampuni ya Simu TECNO.
Nimekuwa mtumiaji wa simu za Tecno kwa muda mrefu na hasa kwa hizi Smartphones tangu N3, P3 ........!
Lakini katika matoleo yote nilowahi kutumia leo naomba niwapongeze hadharani kwamba TECNO L6 wameitendea haki kwa suala zima la charge.
Tecno L6 ina uwezo wa kukaa na charge kwa muda mrefu ukilinganisha na matoleo mengine.
Hongera sana TECNO, hongera TECNO L6.

hamna Simu hapo...
 
Back
Top Bottom