Kwa hili startimes ni tatizo mjirekebishe mnaudhi

May 23, 2014
48
20
ni wiki ya pili tangu tufunge king'amuzi cha startimes kwenye playlist yao hawana chaneli za hapa bongo kama vile Itv, Eatv, star tv kwa kweli sifurahii kabisa huduma zenu
 
Du! pole sana mkuu, naona pia ni kama wki 2 toka ujiue JF, KARIBU UJIPOZE UCHUNGU MAANA HUMU UNAPATA FULL YALE YANAYOTOKEA NCHINI TENA KWA WAKATI KABISA.

ni wiki ya pili tangu tufunge king'amuzi cha startimes kwenye playlist yao hawana chaneli za hapa bongo kama vile Itv, Eatv, star tv kwa kweli sifurahii kabisa huduma zenu
 
ni wiki ya pili tangu tufunge king'amuzi cha startimes kwenye playlist yao hawana chaneli za hapa bongo kama vile Itv, Eatv, star tv kwa kweli sifurahii kabisa huduma zenu
Pole sana mkuu naamini ulinunua hicho king'amuzi ukitarajia kupata huduma nzuri sambamba na kujionea kombe la dunia lakini hao ndo star times bwana hawana heko, karibu azam tv world live game zote....
 
Back
Top Bottom