manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Katika mkutano uliyofanyika Arusha maeneo ya kilombero,
Nilimsikia Mh:Lema akihutubia aliongea mambo mengi sana yenye tija kwa maslahi ya wananchi wote bila kujali itikadi ya vyama,Wakati akiendelea kuhutubia alisema,"Ndugu zangu wamachinga pamoja na kupelekwa katika viwanja vya NMC mi sijaridhika na mkae karibu na Redio zenu mkisikia nimerudishiwa kiti changu cha ubenge wote mrudi mlipokuwa mkifanya biashara zenu na migambo wakiwasumbua andamaneni mje ofisini kwangu"
Mwisho wa kunukuu.
Na kweli baada ya Lema kurudishiwa kiti chake wamachinga wametoka kule NMC na kurudi katikati ya mji kitu ambacho kinaleta usumbufu na kero kubwa kwa watumiaji barabara wengine.
Mfano kwenye ile barabara ya Shekh Amr Abeid kama unashuka stnd kubwa, Wamachinga wanafanya biashara mpaka njia ya wapita kwa miguu inakosekana inabidi wapita kwa miguu wapite katikati ya Barabara kitu kinachohatarisha maisha ya watembea kwa miguu.
WITO WANGU:
Wakati umefika sasa wa kuacha siasa za vyama,Jambo hata kama limefanywa na CCM na lina tija kwa wananchi wote lisipingwe ili tu kuonyesha kubishana,kwani wamachinga walivyopelekwa kule NMC mji ulikuwa safi sana na hata mzunguko wa hewa ulikuwa mzuri.
Sasa hivi baada ya kurudi katikati ya mji imekuwa kero kero kero.