Kwa hili simuungi mkono Lema!

Kwa hili simuungi mkono Lema!

Mgambo wako wapi jamani, si watembeze viboko mpaka ofisini kwa Lema. Naona huyu amerudia siasa za fujo,safari hii serikali itamshughulikia kiume, ni kupiga mpaka anasahau nyumbani.

mateso hayo yalikoma D21..chezea CHADEMA
 
Mgambo wako wapi jamani, si watembeze viboko mpaka ofisini kwa Lema. Naona huyu amerudia siasa za fujo,safari hii serikali itamshughulikia kiume, ni kupiga mpaka anasahau nyumbani.

Kelele za CHURA .....................!
 
Hivi kwani hao machinga walikuja kwa siku moja?Sensa ni ya nini kama hatuwezi kuitumia kuandaa mazingira bora kulingana na makadirio ya ongezeko letu?tuna sababu gani ya kupoteza hela zetu nyingi kwenye kitu ambacho hatukifanyii kazi?Ni kwa nini hatuandai miundo mbinu kama maji,barabara,shule,umeme,hosptal,soko nk tayari kwa miji mipya?Ni jana au leo tumegundua vijana wetu wanatoka vijijini ambapo napo hamna mazingira shawishi wanakimbilia mijini kunako mishe nyingi?Samahanini lakini nadhani smtm tuna-act kama mahayawan.***ashakum c _ _ _ _.
 
Back
Top Bottom