Kwa hili sheria inasemaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili sheria inasemaje?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Stevemike, Mar 14, 2011.

 1. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukijenga nyumba na kukaa hapo kwa muda mrefu, kisha baada ya miaka barabara mpya ikachongwa na kupitia karibu sana nyumba hiyo kiasi cha kuacha hatua chache. Hapa sheria inasemaje kama nyumba hii sasa haipaswi kuwa hapo kulingana na nafasi kati ya barabara na nyumba? Na hatua gani ninapaswa kuchukua? Wanasheria mtusaidie. Steve.
   
 2. C

  China Vach Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  from my knowledge, kuna power inayo mpa raisi uwezo wa kurevoke right yako ya occupancy over land for public interest kupitia delegation of power kwa minister, nadhani kujengwa kwa barabara ni for the public interest kama ilivyo kwenye Land Act R.E. 2002 ila kwa sababu eneo lile ulimiliki kihalali utatakiwa upewe fair compensation section 11(1)of Land Acquisation Act
   
Loading...