Mkuu, aksante, kinachofanyika kwa hawa jamaa, ni kuhakikisha wanampanga na kumwelimisha mstaafu ili asitumie fedha zake bila mipango yenye kumhakikishia maisha endelevu, bila kugeuka ombaomba baada ya kumaliza fedha zake bila kuzifnyia kazi inayomwezesha kupata hayo maendeleo.Shukrani
Siwezi kuwatangazia biashara mkuu, naweka tu namna wanavyoweza kuwanufaisha wastaafu na wale watarajiwa.Sawa tumekuelewa naona umekuja kutangaza biashara.
pole best ila nashangaa wanasema kuwa eti fao la uzazi na kujifungua lipo ila sijui ndo maneno ya kutaka watu wajiunge huko maana hata mm sijawasoma badoFao la uzazi lipo? 2014 nlienda nikaambiwa bla bla bla nilimind mno
Wakitangaza biashara wanasema fao lipo ukienda ofisini bla bla wanakera hawapole best ila nashangaa wanasema kuwa eti fao la uzazi na kujifungua lipo ila sijui ndo maneno ya kutaka watu wajiunge huko maana hata mm sijawasoma bado
wanakera sana yaani uongo mwingi kwenye matangazo yao ili kuwavutia watu wajiunge laikini taabu sana hawaWakitangaza biashara wanasema fao lipo ukienda ofisini bla bla wanakera hawa
Mfuko bora ni ule unaotoa mafao ya mwanachama pindi anaacha kazi au anasitafu bila kusubiri miaka 60 ufe. Ni NSSF Pekee ndiyo inatoa mafaoNi hakika kuwa mifuko ya pensheni iko mingi hapa Tanzania.
Kila mfuko umekuwa ukijitahidi kubuni namna bora ya kuvuta wanachama. Mbinu niyngi zimekuwa zikitumika, zikiwamo hata zisizokuwa na ukweli, ili muradi tu, wapatikane wanachama na kuendelea kuchangia.
Hata hivyo, bila kuwa na hisa wala maslahi binafsi, napenda kuweka wazi kuwa PSPF ni mfuko unaostahili sifa kubwa kutokana na namna unafanya kazi.
Hawa PSPF wamekuwa wakija na ubunifu wa aina mbalimbali na katika uchunguzi wangu, nimeona hawa ndiyo wanaongoza kwa kuwapa wanachama wao kile kinachostahili.
Mengi yamekuwa yakifanywa, lakini hili la kutoa mafunzo kwa wastaafu watarajiwa, kwa kweli ni jema na hakika linaleta faraja.
Hongereni sana PSPF.
Now days lipo mbonaFao la uzazi lipo? 2014 nlienda nikaambiwa bla bla bla nilimind mno
Umejifungua lini kwani mkuu?Wakitangaza biashara wanasema fao lipo ukienda ofisini bla bla wanakera hawa
Nilitaraji kuona/kusoma sababu za kwanini PSPF ni mfuko bora zaidi wa pensheni kulikoni mingine yote hapa tanzania,naona umefeli kabisa katika somo la marketing & sales!Ni hakika kuwa mifuko ya pensheni iko mingi hapa Tanzania.
Kila mfuko umekuwa ukijitahidi kubuni namna bora ya kuvuta wanachama. Mbinu niyngi zimekuwa zikitumika, zikiwamo hata zisizokuwa na ukweli, ili muradi tu, wapatikane wanachama na kuendelea kuchangia.
Hata hivyo, bila kuwa na hisa wala maslahi binafsi, napenda kuweka wazi kuwa PSPF ni mfuko unaostahili sifa kubwa kutokana na namna unafanya kazi.
Hawa PSPF wamekuwa wakija na ubunifu wa aina mbalimbali na katika uchunguzi wangu, nimeona hawa ndiyo wanaongoza kwa kuwapa wanachama wao kile kinachostahili.
Mengi yamekuwa yakifanywa, lakini hili la kutoa mafunzo kwa wastaafu watarajiwa, kwa kweli ni jema na hakika linaleta faraja.
Hongereni sana PSPF.
Hata kabla ya mwaka huo walisema lipo, naenda ofisini kuuliza wanazingua nilichukia kidogo nijifungulie kwenye ofisi zao mxyuuuNow days lipo mbona
Hehehe, very sorry mkuuHata kabla ya mwaka huo walisema lipo, naenda ofisini kuuliza wanazingua nilichukia kidogo nijifungulie kwenye ofisi zao mxyuuu
Mambo ambayo yanakera watu hii mifuko ya pension,ukichek michango hakuna mwajiri apeleki,uje ufatilie mafao unaulizwa kwa nini umeacha kazFao la kujitoa lipo?